Nagasaki : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ms:Nagasaki
d roboti Nyongeza: gl:Nagasaki
Mstari 45: Mstari 45:
[[fi:Nagasaki]]
[[fi:Nagasaki]]
[[fr:Nagasaki]]
[[fr:Nagasaki]]
[[gl:Nagasaki]]
[[he:נגסאקי]]
[[he:נגסאקי]]
[[hi:नागासाकी]]
[[hi:नागासाकी]]

Pitio la 23:42, 16 Agosti 2008

Nagasaki mwaka 2004
Mahali pa Nagasaki

Nagasaki ni mji wa Japani kwenye kisiwa cha Kyushu mwenye wakazi 450,000. Imejulikana kimataifa kwa sababu iliharibiwa mwaka 1945 na bomu la nyuklia ya Kimarekani kama mji wa pili katika historia baada ya Hiroshima. Bomu likaua watu 36,000 mara moja na wengine waliokadiriwa kuwa kati ya 70,000 na 100,000 walikufa baadaye kufuatana athira ya mnururisho wa kinyuklia.

Kihistoria Nagasaki ilikuwa kitovu cha Ukristo katika Japani mnamo mwaka 1600. Imani hii ilipigwa marufuku na serikali na Wakristo wengi waliuawa katika miaka iliyofuata. Wachache walitunza imani kwa siri hadi kurudishwa kwa uhuru wa kidini katika karne ya 19.



Viungo vya Nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: