Thomas Aquinas Mtakatifu : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d roboti Badiliko: zh:托马斯·阿奎那 |
d roboti Nyongeza: bat-smg:Tuoms Akvėnėitis |
||
Mstari 18: | Mstari 18: | ||
[[ast:Tomás d'Aquino]] |
[[ast:Tomás d'Aquino]] |
||
[[az:Foma Akvinalı]] |
[[az:Foma Akvinalı]] |
||
[[bat-smg:Tuoms Akvėnėitis]] |
|||
[[be-x-old:Тамаш Аквінскі]] |
[[be-x-old:Тамаш Аквінскі]] |
||
[[bg:Тома Аквински]] |
[[bg:Тома Аквински]] |
Pitio la 14:02, 7 Agosti 2008
Thomas Aquinas Mtakatifu (takriban 1224 – 7 Machi, 1274) alikuwa mwanateolojia kutoka nchi ya Italia. Alikuwa mtawa ndani ya Shirika la Wadominikani. Alichunguza hasa mawazo ya mwanafalsafa Mgiriki Aristoteli. Pia anajulikana sana kwa vitabu vyake “Jumla ya Teolojia” (kwa Kilatini Summa theologiae) na “Jumla dhidi ya Wapagani” (kwa Kilatini Summa contra gentiles). Alitangazwa kuwa mtakatifu 18 Julai 1323. Sikukuu yake ni 28 Januari.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |