Auguste Beernaert : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Badiliko: nl:Auguste Beernaert
Mstari 26: Mstari 26:
[[ja:オーギュスト・ベールナールト]]
[[ja:オーギュスト・ベールナールト]]
[[ku:Auguste Beernaert]]
[[ku:Auguste Beernaert]]
[[nl:August Beernaert]]
[[nl:Auguste Beernaert]]
[[no:Auguste Beernaert]]
[[no:Auguste Beernaert]]
[[pl:Auguste Beernaert]]
[[pl:Auguste Beernaert]]

Pitio la 19:58, 6 Agosti 2008

Auguste Beernaert
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons


Auguste Marie Francois Beernaert (26 Julai, 18296 Oktoba, 1912) alikuwa mwanasheria na mwanasiasa kutoka nchi ya Ubelgiji. Kuanzia 1884 hadi 1894 alikuwa Waziri Mkuu na Waziri wa Fedha. Baadaye alikuwa mwakilishi wa Ubelgiji kwenye mikutano ya amani iliyofanyika katika mji wa The Hague mwaka wa 1899 na wa 1907. Mwaka wa 1909, pamoja na Paul d’Estournelles alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel kwa Amani.