Waraka wa kwanza kwa Timotheo : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
viungo
d roboti Nyongeza: tl:Unang Sulat kay Timoteo
Mstari 38: Mstari 38:
[[sm:O le tusi muamua a Paulo ia Timoteo]]
[[sm:O le tusi muamua a Paulo ia Timoteo]]
[[sv:Första Timotheosbrevet]]
[[sv:Första Timotheosbrevet]]
[[tl:Unang Sulat kay Timoteo]]
[[zh:提摩太前書]]
[[zh:提摩太前書]]

Pitio la 19:31, 6 Agosti 2008

Agano Jipya


Barua ya kwanza kwa Timotheo ni kimojawapo kati ya vitabu 27 vya Agano Jipya katika Biblia ya Ukristo.

Iliandikwa na Mtume Paulo baada ya kifungo chake cha kwanza mjini Roma labda akiwa Makedonia ili kumpa mwanafunzi wake mpenzi mashauri na maelekezo kwa kazi yake aliyomshirikisha.

Pamoja na ile ya pili aliyomuandikia na ile kwa Tito inaunda kundi la Nyaraka za Kichungaji.

Kiungo cha nje

  • [1] Agano Jipya kwa lugha ya Kiswahili