Unguja : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d robot Adding: fr:Unguja
d roboti Nyongeza: ja:ウングジャ島
Mstari 23: Mstari 23:
[[eo:Unguĵo]]
[[eo:Unguĵo]]
[[fr:Unguja]]
[[fr:Unguja]]
[[ja:ウングジャ島]]

Pitio la 12:11, 3 Agosti 2008

Ramani ya Unguja

Unguja ni kisiwa kikubwa katika Bahari Hindi karibu na mwambao wa Afrika ya Mashariki karibu na Daressalaam. Unguja ni kisiwa kikuu cha Zanzibar ambayo ni sehemu ya Jamhuri ya Maungano ya Tanzania.

Unguja ina eneo la takriban 1.658 km² ikiwa na wakazi 460 000. Mji Mkuu ni Jiji la Zanzibar kwenye pwani la magharibi la kutazama bara.

Kisiwani Unguja kuna mikoa mitatu ya mikoa 26 ya Tanzania ambazo ni Unguja Kaskazini, Unguja Kusini na Unguja Mjini Magharibi.

Viungo vya nje