Kisilesia : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Mstari 29: Mstari 29:
[[cy:Sileseg]]
[[cy:Sileseg]]
[[da:Schlesisk (sprog)]]
[[da:Schlesisk (sprog)]]
[[de:Schlesisch-polnischer Dialekt]]
[[de:Schlesisch (polnischer Dialekt)]]
[[el:Σιλεσική γλώσσα]]
[[el:Σιλεσική γλώσσα]]
[[en:Silesian language]]
[[en:Silesian language]]

Pitio la 12:08, 2 Agosti 2008

Kisilesia (Kwa Kisilesia: ślůnsko godka, ślůnski, pia huitwa pů našymu) ni lugha izungumzwayo na watu wa mkowa wa Upper Silesia nchini Poland, lakini pia kinazungumzwa katika nchi ya Ucheki na Ujerumani. Mnamo mwaka wa 2002, imetangazwa kuwa takriban 56,000 Kisilesia kuwa kama lugha yao fasaha.

Kisilesia kina husiana kwa karibu sana na lugha ya Kipolandi, na ndiyomaana kinafikiriwa na wanasiimu wengi kuwa kina lafudhi ya Kipolandi.

Herufi za Kisilesia

Hakuna herufi moja tu ya Kisilesia. Wazungumzaji wa Kisilesia hutumia kuandika kilugha hiki kwa kufuata taratibu za uandikaji wa Kipolandi. Mnamo mwaka wa 2006 imegunduliwa herufi mpya za Kisilesia, ipo katika misingi ya Kisilesia tu (kuna misingi ipatayo 10). Kina tumika sana katika mtandao wa Internet, kama vile jinsi kinavyotumika katika Wikipedia ya Kisilesia.

Aa Bb Cc Ćć Čč Dd Ee Ff Gg Hh Ii Jj Kk Ll Mm Nn Ńń Oo Pp Rr Řř Ss Śś Šš Tt Uu Ůů Ww Yy Zz Źź Žž

Na baadhi ya herufi za ziada: Ch Dz Dź Dž.

Viungo vya nje