Bloemfontein : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Badiliko: tr:Bloemfontein
Mstari 43: Mstari 43:
[[ja:ブルームフォンテーン]]
[[ja:ブルームフォンテーン]]
[[jv:Bloemfontein]]
[[jv:Bloemfontein]]
[[ka:ბლუმფონტეინი]]
[[ko:볼룸폰테인]]
[[ko:볼룸폰테인]]
[[la:Anthopege]]
[[la:Anthopege]]

Pitio la 17:07, 24 Julai 2008

Bloemfontein wakati wa usiku
Bloemfontein wakati wa mchana
Faili:Bloemfontein bunge.jpg
Bunge la Vrystaat (1893) pamoja na sanamu ya jenerali ya Makaburu Christiaan de Wet

Bloemfontein (tamka: "Blumfontain" - Kiholanzi/Kiafrikaans "chemchemi ya maua") ni kati ya miji mikuu mitatu ya Afrika Kusini pamoja na Pretoria na Cape Town. Jina la Kisotho ni Mangaung linalomaanisha "kwa duma". Bloemfountain ni makao ya Mahakama Kuu ya Afrika Kusini pia mju mkuu wa mkoa wa Vrystaat (au: Free State - "Dola huru").

Mji uko kwenye uwanja wa juu wenye kimo cha 1,395 m juu ya UB.

Mji mwenyewe una takriban wakazi 500,000. Kuna mji wa pili pamoja nao wa Mangaung wa wakazi 650,000 uliojengwa wakati wa utawala wa ubaguzi wa rangi kwa ajili ya watu weusi.