Shirikisho la Ujerumani : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboto: he:הקונפדרציה הגרמנית estas artikolo elstara
Mstari 17: Mstari 17:
[[Category:Historia ya Ujerumani]]
[[Category:Historia ya Ujerumani]]
[[Category:Nchi ya Kihistoria ya Ulaya|U]]
[[Category:Nchi ya Kihistoria ya Ulaya|U]]

{{Link FA|he}}


[[bg:Германски съюз]]
[[bg:Германски съюз]]
Mstari 22: Mstari 24:
[[da:Tyske forbund]]
[[da:Tyske forbund]]
[[de:Deutscher Bund]]
[[de:Deutscher Bund]]
[[el:Γερμανική Ομοσπονδία]]
[[en:German Confederation]]
[[en:German Confederation]]
[[eo:Germana Federacio]]
[[eo:Germana Federacio]]
Mstari 27: Mstari 30:
[[fi:Saksan liitto]]
[[fi:Saksan liitto]]
[[fr:Confédération germanique]]
[[fr:Confédération germanique]]
[[he:הקונפדרציה הגרמנית]] {{Link FA|he}}
[[he:הקונפדרציה הגרמנית]]
[[hr:Njemačka Konfederacija]]
[[hr:Njemačka Konfederacija]]
[[it:Confederazione tedesca]]
[[it:Confederazione tedesca]]

Pitio la 22:33, 19 Julai 2008

Shirikisho la Ujerumani katika Ulaya.
Sehemu za nchi mbili kubwa ndani yake Austria na Prussia zilikuwa nje ya shirikisho

Shirikisho la Ujerumani (Kijer.: Deutscher Bund") ilikuwa ushirikiano wa nchi za Ulaya ya Kati hasa za shemu za Ujerumani baada ya Mkutano wa Vienna 1815 hadi vita ya Prussia na Austria ya 1866.

Nchi hizi ziliwahi kuwa sehemu za Dola Takatifu la Kiroma hadi 1806 iliyokwisha kutokana na vita za Napoleoni.

Nchi na maeneo ya kujitawala 38 zilijiunga ndani yake. Hizi zilikuwa nchi 34 zenye utaratibu wa kifalme (ufalme, utemi) na miji huru minne yenye katiba ya kijamhuri. Kila nchi ilijitawala na kujitegemea hata kimataifa.

Nchi mbili kubwa kati ya wanachama zilikuwa Dola la Austria na Ufalme wa Prussia. Zote mbili zilikuwa na maeneo makubwa ambayo yalihesabiwa kuwa nje ya eneo la shirikisho kwa sababu hazikuwahi kuwa sehemu za Dola Takatifu kabla ya 1806.

Shirikisho lilikuwa na nguvu wakati ambako Austria na Prussia zilishirikiana vizuri. Tangu 1860 na hasa tangu vita ya Schleswig ya 1864 uhusiano ulikuwa mbaya na kusababisha vita ya Ujerumani ya 1866 iliyomaliza shirikisho.

Tokeo la vita lilkuwa ya kwamba Austria ilibaki nje ya siasa ya Kijerumani; sehemu kubwa ya Ujerumani iliunganishwa katika Shirikisho la Ujerumani ya Kaskazini chini ya uongozi wa Prussia na madola ya Ujerumani kusini kama Bavaria yalibaki pekee.

Katika vita ya Ujerumani na Ufaransa nchi za Ujerumani kusini zilishikamana na Prussia. Tokeo lake likuwa kuundwa kwa Dola la Ujerumani tar. 18 Januari 1871 mjini Versailles (Ufaransa).

Kigezo:Link FA