Ella Fitzgerald : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ca:Ella Fitzgerald
d roboto: ka:ელა ფიცჯერალდი estas artikolo elstara
Mstari 38: Mstari 38:
[[it:Ella Fitzgerald]]
[[it:Ella Fitzgerald]]
[[ja:エラ・フィッツジェラルド]]
[[ja:エラ・フィッツジェラルド]]
[[ka:ელა ფიცჯერალდი]]
[[ka:ელა ფიცჯერალდი]] {{Link FA|ka}}
[[li:Ella Fitzgerald]]
[[li:Ella Fitzgerald]]
[[lt:Ella Fitzgerald]]
[[lt:Ella Fitzgerald]]

Pitio la 21:52, 17 Julai 2008

Ella Fitzgerald 1940

Ella Fitzgerald (25 Aprili, 191715 Juni, 1996) alifahamika kama muimbaji wa kike wa muziki wa Jazz (Lady of songs). Ella Fitzgerald au mama Ella sauti yake ilikuwa ni muhimu sana kwenye muziki wa Jazz na hata mitindo mingine ya muziki katika karne ya ishirini.

Ella Fitzgerald alizaliwa Aprili 25 1918 mjini Newport News (Va- Marekani). Ella ameshirikiana na wanamuziki wengi mojawapo ni Louis Armstrong "Satchimo" huyu alikuwa ni mpiga tarumpeta mashuhuri. Mama Ella alizama zaidi katika mtindo wa Swing Jazz.

Kati ya nyimbo alizowahi kuimba ni: That old black magic; Can't we be friends?; Love is the thing so they say; It's a blue wold; Dedicated to you; If you ever should live na Sugar blues. Alifariki mwaka 1996. Kigezo:Link FA