Kabla ya Kristo : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d KK umehamishwa hapa Kabla ya Kristo
No edit summary
Mstari 5: Mstari 5:
Kuhusu historia ya hesabu hii tazama:
Kuhusu historia ya hesabu hii tazama:
[[Baada ya Kristo|Historia ya Hesabu "Kabla ya / Baada ya Kristo"]]
[[Baada ya Kristo|Historia ya Hesabu "Kabla ya / Baada ya Kristo"]]

[[de:V. u. Z.]]
[[el:Κοινή Χρονολογία (Χρονολόγηση)]]
[[en:Common Era]]
[[es:AdC]]
[[fr:Common Era]]

Pitio la 19:30, 3 Septemba 2006

Kabla ya Kuzaliwa kwake Yesu Kristo (kifupi: KK) ni namna ya kutaja miaka.

Hesabu hii imekuwa njia ya kuhesabu miaka inayotumika zaidi duniani siku hizi. Kila mwaka huhesabiwa kuanzia mwaka unaodhaniwa kuwa mwaka wa kuzaliwa kwake Kristo. Miaka iliyofuata baada ya kuzaliwa kwake huitwa Baada ya Kristo au kifupi: BK.

Kuhusu historia ya hesabu hii tazama: Historia ya Hesabu "Kabla ya / Baada ya Kristo"