Waraka wa kwanza kwa Timotheo : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
New page: '''Barua ya kwanza kwa Timotheo''' ni kimojawapo kati ya vitabu 27 vya Agano Jipya katika Biblia ya Ukristo. Iliandikwa na Mtume Paulo baada ya kifungo chake cha kwanza mj... |
viungo |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
{{Agano Jipya}} |
|||
'''Barua ya kwanza kwa Timotheo''' ni kimojawapo kati ya vitabu 27 vya [[Agano Jipya]] katika [[Biblia]] ya [[Ukristo]]. |
'''Barua ya kwanza kwa Timotheo''' ni kimojawapo kati ya vitabu 27 vya [[Agano Jipya]] katika [[Biblia]] ya [[Ukristo]]. |
||
Mstari 5: | Mstari 8: | ||
Pamoja na ile ya pili aliyomuandikia na ile kwa Tito inaunda kundi la [[Nyaraka za Kichungaji]]. |
Pamoja na ile ya pili aliyomuandikia na ile kwa Tito inaunda kundi la [[Nyaraka za Kichungaji]]. |
||
==Kiungo cha nje== |
|||
* [http://www.intratext.com/IXT/SWA0013/_INDEX.HTM] Agano Jipya kwa lugha ya Kiswahili |
|||
[[Category:Vitabu vya Agano Jipya]] |
[[Category:Vitabu vya Agano Jipya]] |
Pitio la 21:24, 16 Julai 2008
Barua ya kwanza kwa Timotheo ni kimojawapo kati ya vitabu 27 vya Agano Jipya katika Biblia ya Ukristo.
Iliandikwa na Mtume Paulo baada ya kifungo chake cha kwanza mjini Roma labda akiwa Makedonia ili kumpa mwanafunzi wake mpenzi mashauri na maelekezo kwa kazi yake aliyomshirikisha.
Pamoja na ile ya pili aliyomuandikia na ile kwa Tito inaunda kundi la Nyaraka za Kichungaji.
Kiungo cha nje
- [1] Agano Jipya kwa lugha ya Kiswahili