Waraka wa tatu wa Yohane : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
New page: '''Barua ya tatu ya Yohane''' ni kitabu kimojawapo cha Agano Jipya katika Biblia ya Ukristo. Kuhusu mwandishi wa barua hiyo lilichelewa kutajwa jina la Mtume Yohane kutoka...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 20:59, 16 Julai 2008

Barua ya tatu ya Yohane ni kitabu kimojawapo cha Agano Jipya katika Biblia ya Ukristo.

Kuhusu mwandishi wa barua hiyo lilichelewa kutajwa jina la Mtume Yohane kutokana na yaliyomo na mtindo wa uandishi wake.

Kama mwandishi si yeye, ni mmoja wa wanafunzi wake aliyeandikwa mwishoni mwa karne ya 1 huko Efeso.

Mlengwa ni Gaio, anayedhaniwa kuwa kiongozi mmojawapo wa jumuia fulani kati ya zile zilizomtegemea Yohane.