Utendi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
en:Utenzi
d roboti Nyongeza: it:Utenzi
Mstari 4: Mstari 4:


[[en:Utenzi]]
[[en:Utenzi]]
[[it:Utenzi]]

Pitio la 13:34, 16 Julai 2008

Maana ya utendi ni aina ya ushairi, tena ni tanzu mojawapo ya fasihi simulizi. Kwa kawaida, utendi husimulia maisha na matendo ya mhusika shujaa au wa visasili. Kule Ulaya, kuna tendi kama wimbo wa Troya, wimbo wa Odisei na wimbo wa kabila la Nibelungi; tena kule Uhindi k.m. kuna wimbo wa Mahabharata. Hizo zote mara nyingi hudondolewa kama mifano ya utendi. Siku hizi hata riwaya au filamu, hasa kama ni ndefu sana pamoja na wahusika wengi au nyakati nyingi, huitwa utendi.