Kwanza (sarafu) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ko:앙골라 콴자
Mstari 30: Mstari 30:
[[ja:クワンザ]]
[[ja:クワンザ]]
[[ko:앙골라 콴자]]
[[ko:앙골라 콴자]]
[[mr:अँगोलन क्वांझा]]
[[nl:Kwanza (munteenheid)]]
[[nl:Kwanza (munteenheid)]]
[[no:Kwanza]]
[[no:Kwanza]]

Pitio la 23:24, 8 Julai 2008

Makala hii yahusu pesa ya Angola. Kuhusu mto Kwanza angalia Kwanza (mto).

Faili:AGO006.JPG
Kwanza moja

Kwanza (kifupi: KZ) ni pesa inayotumika kwa malipo halali katika nchi ya Angola. Wakati wa uhuru Angloa imerithi pesa ya escudo kutoka Ureno. Mwaka 1977 Kwanza yenye 100 Lwei imeingizwa nchini kama pesa ya kwanza ya kitaifa. Kutokana na kushuka kwa thamani ya fedha mara kwa mara pesa ya Kwanza imebadilishwa mara nne tangu 1977:

  • 1977 Kwanza
  • 1977 Kwanza Novo (Kwanza Mpya)
  • 1995 Kwanza Reajustado (Kwanza iliyosahihishwa)
  • 1999 Kwanza (Kwanza Reajustado milioni moja zilibadilishwa kuwa Kwanza 1 mpya)

Sarafu za centavos 10 na 50 hazipatikani kwani hazinunui kitu tena.