Mtakatifu Ireneo : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
dNo edit summary
d +en
Mstari 12: Mstari 12:


{{mbegu}}
{{mbegu}}

[[en:Irenaeus]]

Pitio la 10:26, 8 Julai 2008

Mtakatifu Ireneo (130200) alikuwa askofu wa mji wa Lyons. Ametambuliwa kuwa mtakatifu kama mfiadini. Sikukuu yake ni 28 Juni.

Maisha

Ireneo alizaliwa yapata 130. Alilelewa katika mji wa Smirna nchini Uturuki, akiwa ni mwanafunzi wa Mt. Polikarpi aliyekuwa askofu wa mji huo. Mwaka wa 177, Ireneo alipata upadre huko Lyons nchini Ufaransa, na baadaye kidogo aliteuliwa kuwa askofu wa hapo Lyons. Katika maandishi take alijitahidi sana kuteta imani ya kikatoliki dhidi ya mafundisho ya Wagnostiki. Kwa mujibu wa mapokeo, aliifia dini yake mnamo mwaka 200.

Tazama pia