Fuzuli : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
New page: :''For the administrative region of Azerbaijan, see Fizuli.'' thumb|150px|Fuzûlî (1483?–1556) '''Fuzuli''' (Kar./Kituruki فضولی) ilikuwa ji...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 18:01, 3 Julai 2008

For the administrative region of Azerbaijan, see Fizuli.
Fuzûlî (1483?–1556)

Fuzuli (Kar./Kituruki فضولی) ilikuwa jina la kisanii la mshairi Muhammad bin Suleyman oğlu Füzuli (Kar. محمد بن سليمان) (takriban 14951556). Alikuwa mshairi mashuhuri wa Milki ya Osmani aliyeandika kwa lugha za Kituruki, Kiajemi na Kiarabu. Kituruki chake kilikuwa cha Kiazeri. Alikuwa pia mtaalamu wa hisabati na na falaki.

Fuzuli alizaliwa mnamo 1483 au 1495 katika eneo la Iraq ya leo ama mjini Najaf au Karbala. Familia yake ilitoka katika kabila ya Waturuki wahamiaji waliowahi kukaa mjini kwa vizazi kadhaa. Alipata elimu nzuri. Hakuna habari zaidi zenye uhakika juu ya maisha yake isipokuwa alikufa kutokana na ugonjwa wa kuambukizwa.

Mashairi yake yamehifadhiwa yakihesabiwa kati ya mifano bora ya mashairi ya Kituruki wa wakati wake. Aliandika mengi juu ya mapenzi lakini pia beti za kupinga makosa ya umma kwa mfano ufisafi:

سلام وردم رشوت دگلدر ديو آلمادىلر
Selâm verdim rüşvet değildir deyü almadılar.[1]
Nilisema "salaam" lakini hawakukubali kwa sababu haikuwa hongo.


Ukurasa kutoka mashairi yake Fuzuli


Viungo vya Nje

  • FUZULİ
  • Muhammed Fuzuli—a website with a brief biography and translated selections from Leylî vü Mecnûn
  • Fuzûlî in Stanford J. Shaw's History of the Ottoman Empire and Modern Turkey


Kigezo:Link FA

  1. Kudret 189