1904 : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: gan:1904年 |
No edit summary |
||
Mstari 17: | Mstari 17: | ||
==Waliofariki== |
==Waliofariki== |
||
*[[15 Julai]] - [[Anton Chekhov]], mwandishi [[Urusi|Mrusi]] |
|||
*[[24 Septemba]] - [[Niels Ryberg Finsen]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Tiba]], mwaka wa [[1903]]) |
*[[24 Septemba]] - [[Niels Ryberg Finsen]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Tiba]], mwaka wa [[1903]]) |
||
Pitio la 12:24, 30 Juni 2008
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1870 |
Miaka ya 1880 |
Miaka ya 1890 |
Miaka ya 1900
| Miaka ya 1910
| Miaka ya 1920
| Miaka ya 1930
| ►
◄◄ |
◄ |
1900 |
1901 |
1902 |
1903 |
1904
| 1905
| 1906
| 1907
| 1908
| ►
| ►►
Matukio
Waliozaliwa
- 2 Machi - Theodor Seuss Geisel (anajulikana hasa kama Dr. Seuss, mwandishi Mmarekani kwa watoto)
- 6 Mei - Harry Martinson (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1974)
- 12 Julai - Pablo Neruda (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1971)
- 14 Julai - Isaac Bashevis Singer (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1978)
- 28 Julai - Pavel Cherenkov (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1958)
- 7 Agosti - Ralph Bunche (mwanasiasa Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1950)
- 16 Agosti - Wendell Stanley (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1946)
- 20 Agosti - Werner Forssmann (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1956)
- 21 Agosti - Count Basie, mwanamuziki wa Jazz kutoka Marekani
- 16 Novemba - Nnamdi Azikiwe, Rais wa kwanza wa Nigeria
- 22 Novemba - Louis Neel (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1970)
- 25 Desemba - Gerhard Herzberg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1971
Waliofariki
- 15 Julai - Anton Chekhov, mwandishi Mrusi
- 24 Septemba - Niels Ryberg Finsen (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1903)