Cordell Hull : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: da:Cordell Hull
d roboti Nyongeza: id:Cordell Hull
Mstari 23: Mstari 23:
[[fr:Cordell Hull]]
[[fr:Cordell Hull]]
[[he:קורדל הול]]
[[he:קורדל הול]]
[[id:Cordell Hull]]
[[it:Cordell Hull]]
[[it:Cordell Hull]]
[[ja:コーデル・ハル]]
[[ja:コーデル・ハル]]

Pitio la 17:00, 24 Juni 2008

Cordell Hull

Cordell Hull (2 Oktoba, 187123 Julai, 1955) alikuwa mwanasheria na mwanasiasa kutoka nchi ya Marekani. Kuanzia 1933 hadi 1944 alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje. Mwaka wa 1945 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel kwa Amani kwa ajili ya kazi yake ya kuanzisha Umoja wa Mataifa.