Bamba la Karibi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
 
sahihisho ndogo
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:Bamba la Karibi.png|thumb|250px|Bamba la Karibi]]
[[Image:Bamba la Karibi.png|thumb|250px|Bamba la Karibi]]
[[Image:Volkeno za Karibi.PNG|thumb|250px|Volkeno za Karibi]]
[[Image:Volkeno za Karibi.PNG|thumb|250px|Volkeno za Karibi]]
'''Bamba la Karibi''' ni kati ya [[bamba la gandunia]] chini ya [[Amerika ya Kati]] na [[Bahari ya Karibi]]. Limepakana na mabamba ya [[Amerika ya Kaskazini]], [[Amerika ya Kusini]] na [[bamba la Nazi|Nazi]] (Cocos Plate). Eneo lake ni takriban milioni 3.2 [[km²]].
'''Bamba la Karibi''' ni [[bamba la gandunia]] lililopo chini ya [[Amerika ya Kati]] na [[Bahari ya Karibi]]. Limepakana na mabamba ya [[Amerika ya Kaskazini]], [[Amerika ya Kusini]] na [[bamba la Nazi|Nazi]] (Cocos Plate). Eneo lake ni takriban milioni 3.2 [[km²]].

Mipaka yake na mabamba mengine ni mahali pa matetemeko ya ardhi na milipuko ya volkeno.
Mipaka yake na mabamba mengine ni mahali pa matetemeko ya ardhi na milipuko ya volkeno.

Pitio la 18:18, 31 Agosti 2006

Bamba la Karibi
Volkeno za Karibi

Bamba la Karibi ni bamba la gandunia lililopo chini ya Amerika ya Kati na Bahari ya Karibi. Limepakana na mabamba ya Amerika ya Kaskazini, Amerika ya Kusini na Nazi (Cocos Plate). Eneo lake ni takriban milioni 3.2 km².

Mipaka yake na mabamba mengine ni mahali pa matetemeko ya ardhi na milipuko ya volkeno.

Nadharia ya asili yake

Nadharia ya asili yake inasema ya kuwa bamba hili lilikuwa sehemu ya juu ya bamba la Pasifiki. Wakati bamba la Atlantiki ilisukuma mabamba ya Amerika ya Kaskazini na Kusini kuelekea magharibi bamba hili la Karibi ilijisukuma juu ya bamba la Atlantiki. Kutokea kwa mlango wa nchi ya Amerika ya Kati kulitenganisha bamba hili na Pasifiki.

Viungo vya nje