Yosafat wa Polotsk : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
nyongeza kidogo
Mstari 2: Mstari 2:


==Maisha==
==Maisha==
Mtakatifu Yosafat alizaliwa nchini [[Ukraine]] mwaka wa 1580 katika familia ya Kiorthodoksi. Baadaye akawa Mkatoliki, na akajiunga na wamonaki wa [[Mt. Basil]]. Alipata upadre, akateuliwa kuwa askofu wa Polotsk. Alifanya kazi kufa na kupona ili kudumisha umoja wa kanisa. Alifia dini yake mwaka wa 1623.
Mtakatifu Yosafat alizaliwa kwa jina Yosafat Kuntsevych nchini [[Ukraine]] mwaka wa 1580 katika familia ya Waorthodoksi waliounganishwa na kanisa katoliki chini ya mapatano ya [[maungano ya Brest]] yaliyoanzisha [[kanisa la Kigiriki-Katoliki la Ukraine]]. Akajiunga na wamonaki wa [[Mt. Basil]]. Alipata upadre, akateuliwa kuwa askofu wa Polotsk. Alijitahidi kutunza urithi wa liturgia ya Kiorthodoksi na pia umoja na kanisa katoliki kwa jumla. Alifanya kazi kubwa sana kutunza urithi wa pekee wa kanisa lake. Alifia dini yake mwaka wa 1623 akiuawa na wapinzani wa umoja na kanisa katoliki.


==Tazama pia==
==Tazama pia==
Mstari 13: Mstari 13:
[[Category:Waliozaliwa 1580]]
[[Category:Waliozaliwa 1580]]
[[Category:Waliofariki 1623]]
[[Category:Waliofariki 1623]]
[[category:Watu wa Ukraine]]


{{mbegu}}
{{mbegu}}



[[be-x-old:Язафат Кунцэвіч]]
[[de:Josaphat Kunzewitsch]]
[[en:Josaphat Kuntsevych]]
[[es:Jozafat Kuncewicz]]
[[fr:Josaphat Koncévitch]]
[[it:San Giosafat Kuncewycz]]
[[ro:Iosafat Kuncevic]]
[[ru:Иосафат (Кунцевич)]]
[[uk:Кунцевич Йосафат]]

Pitio la 14:43, 21 Juni 2008

Mtakatifu Yosafat wa Polotsk (15801623) alikuwa askofu wa Polotsk. Ametambuliwa kuwa mtakatifu kama mfiadini. Sikukuu yake ni 12 Novemba.

Maisha

Mtakatifu Yosafat alizaliwa kwa jina Yosafat Kuntsevych nchini Ukraine mwaka wa 1580 katika familia ya Waorthodoksi waliounganishwa na kanisa katoliki chini ya mapatano ya maungano ya Brest yaliyoanzisha kanisa la Kigiriki-Katoliki la Ukraine. Akajiunga na wamonaki wa Mt. Basil. Alipata upadre, akateuliwa kuwa askofu wa Polotsk. Alijitahidi kutunza urithi wa liturgia ya Kiorthodoksi na pia umoja na kanisa katoliki kwa jumla. Alifanya kazi kubwa sana kutunza urithi wa pekee wa kanisa lake. Alifia dini yake mwaka wa 1623 akiuawa na wapinzani wa umoja na kanisa katoliki.

Tazama pia

Marejeo

  • "Sala ya Kanisa - Vipindi vya Liturjia", Toleo la Tatu 1996, Ndanda - Peramiho: Benedictine Publications, uk.1568