Tripoli (Libya) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
dNo edit summary
d robot Adding: vo:Tarabulus
Mstari 55: Mstari 55:
[[sr:Триполи]]
[[sr:Триполи]]
[[sv:Tripoli]]
[[sv:Tripoli]]
[[vo:Tarabulus]]
[[zh:的黎波里]]
[[zh:的黎波里]]

Pitio la 19:20, 25 Agosti 2006

Mahali pa Tripoli katika Libya

Kwa miji mingine inayoitwa "Tripoli" tazama makala ya maana Tripoli

Tripoli ni mji mkuu wa Libya. Jina la Kiarabu ni طرابلس (tarāblus) au طرابلس الغربية (tarābulus al-gharbiyya - Tripoli ya Magharibi kwa sababu ya Tripoli ya mashariki huko Lebanon) lina asili ya lugha ya Kigiriki (Τρίπολη) la kumaanisha "miji mitatu".

Tripoli ina wakazi 1,150,990 ambayo ni zaidi ya robo moja ya wakazi wote wa Libya ikiendelea kukua haraka. Mji uko ufukoni wa Mediteranea ikiwa na hali ya hewa ya wastani. Agosti inafika halijoto ya 28,1 sentigredi, Januari ya 12,1° C. Miezi ya baridi kuna mvua, Juni hadi Agosti hakuna mvua kabisa.

Tripoli ina bandari kubwa kabisa ya Libya ni pia kitovu cha serikali, biashara na viwanda.

Mji wa kale bado imetunzwa ikionyesha mabaki ya historia yake ndefu tangu enzi za Wafinisia, Waroma, Waarabu, Wahispania, Waturuki na Waitalia.

Picha za Tripoli