Zambia : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d robot Adding: az, fa, ka, ku, kw, ml, ny, ps, ug, vi Modifying: oc
d robot Modifying: eu:Zambia
Mstari 63: Mstari 63:
[[es:Zambia]]
[[es:Zambia]]
[[et:Sambia]]
[[et:Sambia]]
[[eu:Zanbia]]
[[eu:Zambia]]
[[fa:زامبیا]]
[[fa:زامبیا]]
[[fi:Sambia]]
[[fi:Sambia]]

Pitio la 16:09, 25 Agosti 2006

Republic of Zambia
Jamhuri ya Zambia
Bendera ya Zambia
Bendera ya Zambia
Nembo la Zambia
Nembo la Zambia
Neno Kuu: “One Zambia, one nation”
Kiing. „Zambia moja, Taifa moja“
Lugha rasmi Kiingereza
Mji Mkuu Lusaka
Serikali Jamhuri
Rais Levy Mwanawasa
Eneo 752.614 km²
Idadi ya Wakazi 10.462.436 (Julai 2004)
Wakazi kwa km² 13,9
Uhuru Kutoka Uingereza 24. 10. 1964
Pesa Kwacha ya Zambia = 100 Ngwee
Wakati UTC+2
Wimbo wa Taifa Lumbanyeni Zambia (Stand and sing of Zambia)
Ramani ya Afrika inayoonyesha Zambia
Ramani ya Afrika inayoonyesha Zambia
Ramani ya Zambia

Jamhuri ya Zambia ni nchi ya Afrika Kusini isiyo na mwambao wa bahari. Imepakana na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Tanzania upande wa kaskazini, Malawi upande wa mashariki, Msumbiji, Zimbabwe na Botswana upande wa kusini, Namibia na Angola upande wa magharibi.

Jina limetokana na mto wa Zambezi. Jina la zamani lilikuwa "Northern Rhodesia".

Nchi kwa sehemu kubwa ni nyanda za juu kati ya 1.000 hadi 1.400 m juu ya UB. Milima ya Muchinga imepanda hadi 2.164 m, kelele ya juu kabisa iko kwa 2.301 m UB huko milima ya Mafinga Hills.

Wakazi wa Zambia ni wasemaji wa lugha za Kibantu katika makabila 72. Vikundi vikubwa ndio Wabemba, Wanyanja-Wachewa, Watonga, Walunda, Waluvale, Wakaonde na Walozi. Idadi kubwa ni wakulima wa kujitegemea.

Nchi za Afrika Bara la Afrika
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Eswatini | Ethiopia | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesotho | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Zambia | Zimbabwe
Maeneo ya Afrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika
Hispania: Kanari · Ceuta · Melilla | Italia: Pantelleria · Pelagie | Ufaransa: Mayotte · Réunion | Uingereza: · St. Helena · Diego Garcia | Ureno: Madeira