Zambezi (mto) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d robot Adding: cs:Zambezi
Mstari 46: Mstari 46:
[[bg:Замбези]]
[[bg:Замбези]]
[[ca:Zambesi]]
[[ca:Zambesi]]
[[cs:Zambezi]]
[[da:Zambezi]]
[[da:Zambezi]]
[[de:Sambesi]]
[[de:Sambesi]]

Pitio la 16:01, 25 Agosti 2006

Mto wa Zambezi
Mto wa Zambezi kwenye maporomoko ya Victoria
Mto wa Zambezi kwenye maporomoko ya Victoria
Chanzo karibu na Mwinilunga, Zambia
Mdomo Bahari ya Hindi
Nchi za beseni ya mto Zambia, Kongo, Angola, Namibia, Botswana, Zimbabwe, Msumbiji
Urefu 2,574 km
Kimo cha chanzo 1,500 m
Kiasi cha maji kinachotolewa mdomoni 7,000 m³/s
Eneo la beseni (km²) 1,570,000 km²

Zambezi ni kati ya mito mirefu ya Afrika ikiwa na nafasi ya nne baada ya Nile, Kongo na Niger. Ni mto mrefu wa Afrika wa kuingia Bahari Hindi. Beseni yake ina 1,570,000  km² au nusu ya mto Nile. Chanzo chake iko Zambia inapita Angola mpakani na Namibia, Botswana, Zambia na Zimbabwe kwenda Msumbiji inapofikia Bahari Hindi katika delta ya 880 km².

Kwenye mwendo wa Zambezi pana maporomoko kadhaa hasa maporomoko ya Victoria Falls. Mengine ni maporomoko ya Chavuma mpakani wa Zambia na Angola halafu Ngonye Falls karibu na Sioma, Zambia ya magharibi.

Zambezi ina madaraja matano pekee kati ya chanzo na mdomo mahali pafuatapo: Chinyingi, Katima Mulilo, Victoria Falls, Chirundu na Tete.

Zambezi ni chanzo cha umeme kwa ajili ya sehemu kubwa ya Afrika ya Kusini. Umeme unatengenezwa kwa nishati ya maji huko lambo la Kariba (Zambia) na lambo la Cabora-Bassa (Msumbiji).

Tawimito

Tawimito muhimu ni Cuando, Kafue, Luangwa, Shire.


Miji muhimu mtoni

Viungo vya nje:

Watersheds of Africa: A20 Zambezi