Zimbabwe : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d robot Modifying: eu:Zinbaue
d robot Modifying: eu:Zimbawe
Mstari 180: Mstari 180:
[[es:Zimbabwe]]
[[es:Zimbabwe]]
[[et:Zimbabwe]]
[[et:Zimbabwe]]
[[eu:Zinbaue]]
[[eu:Zimbawe]]
[[fa:زیمبابوه]]
[[fa:زیمبابوه]]
[[fi:Zimbabwe]]
[[fi:Zimbabwe]]

Pitio la 15:58, 25 Agosti 2006

ሃግሬ ኤርትራ
Jamhuri ya Zimbabwe
Republic of Zimbabwe
Flag of Zimbabwe Coat of Arms of Zimbabwe
(Kinaganaga) (Kinaganaga)
Hadabu ya Taifa Unity, Freedom, Work (Kiingereza: Umoja, Uhuru, Kazi) " |
Location of Zimbabwe
Lugha ya Taifa Kiingereza
Mji Mkuu Harare
Mji Mkubwa Harare
Rais Robert Mugabe
Eneo
 - Jumla
 -Maji
 -Eneo ya kadiriwa
390,580 km²
1%
Kadiriwa 59 duni
Umma
 - Kadiriwa
 - Sensa,
 - Umma kugawa na Eneo (kilomita)
12,576,742 Kadiriwa 66 duni
(2003)
; 32/km²
; [[Orotha ya nchi kulingana na eneo kwa umma| duni]
Chumo cha uchumi
 - Jumla
 - kwa kipimo cha umma
$24.99 billion (( ) kadir)
$2,100 (( ))
Uhuru
 - Kadirifu
 - Barabara
(kama, Rhodesia) Novemba 11, 1965
(kama Zimbabwe) Aprili 18, 1980
Fedha Dola, Zimbabwe (Z$)|
Saa za Eneo UTC +2
Wimbo wa Taifa
Intaneti TLD .zw
kodi za simu 263

Jamhuri ya Zimbabwe (iliojulikana kama Rhodesia) ni nchi bara upande wa kusini kwa Bara la Afrika, kati ya mto Zambezi na mto Limpopo. Imepakana na Africa ya Kusini upande wa kusini, Botswana magharibi, Zambia kaskazini-mashariki, na upande wa mashariki imepakana na Musumbiji. Jina Zimbabwe latoka kutoka jina "dzimba dzamabwe" kumaanisha "nyumba ya mawe" kwa lugha ya Kishona. Nyumba hii ya mawe, ilioitwa Zimbabwe ambayo imehifadhiwa kama eneo ya kihistoria, ilikua Milki ya Mwenemtaba ambaye ufalme wake uliongoza eneo hii miaka ya kale. [[Image:Zimbabwe.geohive.gif|thumb|420px|right|Mikoa].

Eneo

Tako la Kifungu: Mikoa ya Zimbabwe, Wilaya za Zimbabwe

Zimbabwe imegawa kwa Mikoa 8 na miji mbili zikiwa na cheo cha Mikoa. Imegawa zaidi kwa Wilaya 59 na munisipaa 1,200.

Mikoa ni Bulawayo (mji), Harare (mji), Manicaland, Mashonaland ya kati, Mashonaland ya Mashariki, Mashonaland magharibi, Masvingo, Matabeleland ya kaskazini, Matabeleland kusini, na Eneo ya Kati (midlands).

Wilaya: ona Wilaya za Zimbabwe

Munisipali: ona Munisipa za Zimbabwe

maporomoko ya maji (Bridal Vei), paa za mashariki
Duka, Paa za mashariki, 1989

Utamaduni

Tako la Kifungu: Utamaduni wa Zimbabwe

Tako kiwasowaso

Mawasiliano ya Simu, mitambo yake yaendeshwa na (Tel-One0, kampuni ya serikali. Kuna kampuni 3 za (simu za mkononi): Econet Wireless, Net*One na Telecel.

Uchambuzi

Viungo via nnje

Serikali

Habari

Wanamgambo

Mielekezo

Utalii

Nyingine


Nchi za Afrika Bara la Afrika
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Eswatini | Ethiopia | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesotho | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Zambia | Zimbabwe
Maeneo ya Afrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika
Hispania: Kanari · Ceuta · Melilla | Italia: Pantelleria · Pelagie | Ufaransa: Mayotte · Réunion | Uingereza: · St. Helena · Diego Garcia | Ureno: Madeira