Kito (madini) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: jv:Watu permata, la:Gemma (lapis)
d roboti Nyongeza: haw:Gema
Mstari 37: Mstari 37:
[[fi:Jalokivi]]
[[fi:Jalokivi]]
[[fr:Gemme]]
[[fr:Gemme]]
[[haw:Gema]]
[[he:אבן חן]]
[[he:אבן חן]]
[[hu:Drágakő]]
[[hu:Drágakő]]

Pitio la 02:33, 13 Juni 2008

Vito na majina yao ya Kiingereza
"turquoise" ni feruzi; "ruby" ni yakuti;
Kito cha Zumaridi katika hali asilia pamoja na mwamba wa kawaida

Vito (pia: johari, mawe ya thamani) ni madini adimu na ngumu zinazopendekeza kwa sababu ya rangi yao. Vinapendwa na watu na kutumiwa kama mapambo. Kito chenye thamani kubwa ni almasi.

Mara nyingi vinakatwa, kusuguliwa na kung'arishwa kwa namna mbalimbali na kutumiwa pamoja na metali adili kama dhahabu au fedha kuwa mapambo kama pete, hereni, mkufu au bizimu.

Mifano ya vito ni

Lulu na korali hutajwa wakati mwingine pia kama kito ingawa si minerali asilia lakini dutu inayotengenezwa na wanyama.