Ubao : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: vls:Out
d roboti Nyongeza: bs:Drvo (materijal)
Mstari 20: Mstari 20:
[[bat-smg:Medėina]]
[[bat-smg:Medėina]]
[[bg:Дървесина]]
[[bg:Дървесина]]
[[bs:Drvo (materijal)]]
[[ca:Fusta]]
[[ca:Fusta]]
[[chr:ᎠᏓ]]
[[chr:ᎠᏓ]]

Pitio la 08:03, 9 Juni 2008

Ubao uliokatwa
Mti huu unaonyesha miviringo 27 ya miaka yake ya kukua pamoja na safu ya nje ya ubao laini pamoja na kiini cha katikati

Ubao ni dutu inayofanya gogo na matawi ya mti. Ina matumizi muhimu kwa ujenzi na vifaa pia kwa moto.

Ubao hutengenezwa na mti wakati wa kukua. Ubao laini katika ganda la nje la gogo hupitisha maji na lishe kutoka mizizi kwa matawi na majani. Kila mwaka ganda jipya linaongezeka nje na ganda la ndani huwa imara na kupoteza uwezo wa kupitisha maji. Mabadiliko haya ya kila mwaka huonekana katika miviringo ya ubao ndani ya mti.

Ubao umetumiwa na wanadamu tangu miaka maelfu. Mwanzoni ilitumiwa kwa ajili ya moto na fimbo la silaha. Baadaye watu walijifunza kuchonga uba kwa matumizi mbalimbali kama vile ujenzi, vifaa, sanaa, karatasi na mengi mengine.

Ubao huwa na faida ni imara lakini si vigumu ya kukata na kuchonga, tena ni nyepesi. Pia inapatikana kwa wingi angalau katika maeneo ambako miti inakua.

Wikimedia Commons ina media kuhusu: