Urusi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: sah:Россия
d roboti Badiliko: szl:Rusyjo
Mstari 214: Mstari 214:
[[su:Rusia]]
[[su:Rusia]]
[[sv:Ryssland]]
[[sv:Ryssland]]
[[szl:Rosyjo]]
[[szl:Rusyjo]]
[[ta:ரஷ்யா]]
[[ta:ரஷ்யா]]
[[te:రష్యా]]
[[te:రష్యా]]

Pitio la 10:18, 8 Juni 2008

Urusi


Urusi (Россия Rossiya) ni nchi ya Ulaya ya Mashariki na Asia. Mji mkuu ni Moscow. Ni nchi kubwa duniani kieneo. Kuna wakazi 144,000,000. Eneo lake ni 17,075,400 km².

Urusi imepakana na Norway, Ufini, Estonia, Latvia, Lithuania, Poland, Belarus, Ukraine, Georgia, Azerbaijan, Kazakhstan, China, Mongolia na Korea ya Kaskazini. Iko karibu vilevile na maeneo ya Marekani (jimbo la Alaska iko ngambo ya mlango wa Bering na Japani (kisiwa cha Hokkaido kiko ng'ambo ya mlango wa La Pérouse.

Hadi 1991 Urusi ilikuwa sehemu ya Umoja wa Kisovyeti na kiini chake. Wakati ule iliitwa Shirikisho la Jamhuri ya Kisovyiet ya Kijamii ya Kirusi.

Urusi ilikuwa udikteta chini ya chama cha kikomunisti. Tangu 1990 imekuwa demokrasia. Muundo wa serikali ni shirikisho la jamhuri chini ya rais mtendaji.


Miji mikubwa ya Urusi

  • Moscow
  • Novosibirsk
  • Nizhniy Novgorod
  • Yekaterinburg
  • Samara
  • Omsk
  • Kazan
  • Ufa
  • Chelyabinsk
  • Rostov
  • Perm


Tovuti