Saudia : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: szl:Arabja Saudyjsko
d roboti Nyongeza: hak:Sâ-vû-thi Â-lâ-pak
Mstari 117: Mstari 117:
[[gl:Arabia Saudí - العربية السعودية]]
[[gl:Arabia Saudí - العربية السعودية]]
[[gv:Yn Araab Saudi]]
[[gv:Yn Araab Saudi]]
[[hak:Sâ-vû-thi Â-lâ-pak]]
[[haw:Saudi ʻAlapia]]
[[haw:Saudi ʻAlapia]]
[[he:ערב הסעודית]]
[[he:ערב הסעודית]]

Pitio la 19:39, 7 Juni 2008

Saudia

Ufalme wa Uarabuni wa Saudia (المملكة العربية السعودية, al-mamlaka al-'arabiyya as-sa'audiyya ) ni nchi kubwa kati ya nchi za Bara Arabu. Imepakana na Yordani, Iraq, Kuwait, Qatar, Bahrain, Falme za Kiarabu, Oman na Yemen. Kuna pwani la Ghuba la Uajemi upande wa kaskazini-mashariki na Bahari ya Shamu upande wa magharibi.

Mara nyingi inaitwa "al-haramain" yaani nchi ya mahali patakatifu pawili kwa kumaanisha miji ya Makka na Madina na Jeddah ambayo ni patakatifu pa Uislamu.

Jina la nchi limefuata familia ya watawala wa familia ya Saud.

Nchi na maeneo ya Asia

Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iraq | Israel | Jamhuri ya China (Taiwan) | Japani | Kamboja | Kazakhstan | Kirgizia | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Laos | Lebanoni | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Saudia | Singapuri | Sri Lanka | Syria | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Turkmenistan | Uajemi | Ufilipino | Uhindi | Urusi1 | Uthai | Uturuki1 | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani

1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi iko Asia lakini inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya kwa sababu za historia au utamaduni. 3. Eneo la pekee la China.


WikiMedia Commons
WikiMedia Commons

Kigezo:Link FA