Mkoa wa Magharibi (Kenya) : Tofauti kati ya masahihisho
OKBot (majadiliano | michango) d roboti Nyongeza: zh:西部省 (肯尼亚) |
d roboti Nyongeza: ru:Западная (провинция Кении) |
||
Mstari 68: | Mstari 68: | ||
[[pl:Prowincja Zachodnia (Kenia)]] |
[[pl:Prowincja Zachodnia (Kenia)]] |
||
[[pt:Ocidental (Quénia)]] |
[[pt:Ocidental (Quénia)]] |
||
[[ru:Западная (провинция Кении)]] |
|||
[[sv:Västprovinsen (Kenya)]] |
[[sv:Västprovinsen (Kenya)]] |
||
[[zh:西部省 (肯尼亚)]] |
[[zh:西部省 (肯尼亚)]] |
Pitio la 08:50, 7 Juni 2008
| ||
Makao Makuu | Kakamega | |
’‘‘Mji Mkubwa’’’ | Kakamega | |
Eneo - Jumla |
Nafasi ya 7 kati ya mikoa ya Kenya 8,285 km² | |
Wakazi - Jumla (2007) - Msongamano wa watu / km² |
Nafasi ya 5 kati ya mikoa ya Kenya 3,569,400 431/km² | |
Lugha mkoani | Kiluhya | |
Mkoa wa Magharibi (Western Province) ni mkoa mdogo kati ya mikoa ya Kenya ni pia mkoa mwenye msongamano mkubwa wa watu. Umepakana na Uganda na mikoa ya Kenya ya Nyanza na Bonde la Ufa.
Eneo lake ni 8,285 km² pekee kuna wakazi 3,569,400 hivyo hukaa zaidi ya watu 400 kwa kila kilomita ya mraba. Wakazi wa Magharibi ni hasa Abaluhya (Waluhya). Mji mkuu ni Kakamega.
Nchi ya mkoa limeenea kutoka vilima vya Bungoma mpakani wa Uganda hadi tambarare karibu na Ziwa Viktoria. Mlima mkubwa wa pili wa Kenya ni Mlima Elgon uko ndani ya mkoa kwenye mpaka wa Uganda. Msitu wa Kakamega ni kati ya misitu asilia ya mwisho wa Kenya.
Uti wa mgongo wa uchumi wa mkoa ni kilimo. Pamoja na kilimo cha kujikimu kuna pia mashamba makubwa ya chai na miwa. Kilimo na maliaili ni msingi wa viwanda vikubwa kama vile kiwanda cha sukari cha Mumias au kiwanda cha karatasi cha Webuye. Hata hivyo idadi kubwa ya wakazi ni maskini na wanaume wengi wameenda Nairobi au kwenye hoteli za pwani kwa kazi ya ajira.
Wilaya
Kuna wilaya nane mkoani:
Wilaya | Makao makuu |
---|---|
Bungoma | Bungoma |
Busia | Busia |
Wilaya ya Butere/Mumias | Butere |
Kakamega | Kakamega |
Lugari | Lugari |
Mlima Elgon | Kapsokwony |
Teso | Malaba |
Vihiga | Vihiga |
Bonde la Ufa | Kaskazini-Mashariki | Kati | Magharibi | Mashariki | Nairobi | Nyanza | Pwani |