Mtumiaji:Muddyb : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5: Mstari 5:
</div><div style="font-family: Trebuchet MS, sans-serif; font-size: 9.5pt; text-align: justify;">
</div><div style="font-family: Trebuchet MS, sans-serif; font-size: 9.5pt; text-align: justify;">
<span id="coordinates"></span>
<span id="coordinates"></span>
Ninaitwa '''Muddyb Blast'''. Ninaishi [[Kiwalani]] Jijini '''[[Dar es Salaam]] '''[[Tanzania]]. Mimi ni "[[Wikipedia:Wakabidhi|Mkabidhi]]" katika Wikipedia hii.
Ninaitwa '''Muddyb Blast'''. Ninaishi [[Kiwalani]] Jijini '''[[Dar es Salaam]] '''[[Tanzania]]. Mimi ni "[[Wikipedia:Wakabidhi|Mkabidhi]]" katika Wikipedia hii na [http://sw.wiktionary.org/wiki/Wiktionary:Wakabidhi Wikamusi ya Kiswahili.]


Ninapenda kuendeleza na kutangaza lugha ya [[Kiswahili]], pia napenda kuwakaribisha wote tushirikiane kuendeleza kamusi elezo hii ya [[Kiswahili]].
Ninapenda kuendeleza na kutangaza lugha ya [[Kiswahili]], pia napenda kuwakaribisha wote tushirikiane kuendeleza kamusi elezo hii ya [[Kiswahili]].

Pitio la 15:30, 30 Mei 2008

Ninaitwa Muddyb Blast. Ninaishi Kiwalani Jijini Dar es Salaam Tanzania. Mimi ni "Mkabidhi" katika Wikipedia hii na Wikamusi ya Kiswahili.

Ninapenda kuendeleza na kutangaza lugha ya Kiswahili, pia napenda kuwakaribisha wote tushirikiane kuendeleza kamusi elezo hii ya Kiswahili.

Unaweza kuniuliza swali lolote upendalo, na nitakujibu kama najua. Na pia mimi ni mtu ninayepatikana hewani saa zote, kasoro jumapili tu. Nawakaribisha ndugu wote katika Kamusi elezo huru ya Kiswahili. Na hadi leo tuna makala zipatazo 79,932 katika Wikipedia hii ya Kiswahili..

Lugha

Wikipedia:Babel
sw Mtumiaji huyu ni mwongeaji wa Kiswahili Fasaha.
en-2 This user is able to contribute with an intermediate level of English.

Masanduku

Wikipedia:Babel
Mtumiaji huyu ni Mkabidhi katika Wikipedia ya Kiswahili. (hakikisha)
Mtumiaji huyu Anatokea Tanzania.
Mtumiaji huyu Anaishi Dar es Salaam.
Mtumiaji huyu ana tovuti, Ambayo inaweza kupatikanika hapa.
Mtumiaji huyu anatumia muda wake mwingi kuhariri Wikipedia.
Mtumiaji huyu ni Mwanachama wa
Wikipedia.
Leo ni tarehe 18 Aprili 2024.
Mtumiaji huyu ana ukurasa kwenye Wikimedia Commons.
Mtumiaji huyu hana utulivu katika sela ya uharibifu wa Wikipedia.
Mtumiaji huyu ana furaha.
:-]
Mtumiaji huyu ni mstaarabu.
Mtumia huyu anapenda masanduku ya watumiaji.
Wiki-N Mtumiaji huyu ni mhariri wa Kiswahili fasaha katika Wikipedia.
Mtumiaji huyu ni Mwanadoria katika sehemu ya kurasa mpya.


Muddyb au Blast Mnyamwezi (sio kabila)

Vitu Ninavyo Penda

Ngoja kwanza. Nitakuurodheshea!!

Picha Ninayoipenda

Mrembo wa katika filamu ya Matrix Reloaded


Sio rahisi kwa m2 wa kawaida kumjua huyu mama, yaani m2 anayeangalia filamu bila kufuatilia nyendo za mwigizaji! Hapa tunampata mwanamama kutoka katika filamu ya The Passion of the Christ, filamu hiii mwanamama huyu alicheza kama Mary Magdalene, vilevile Persephone kutoka katika filamu ya The Matrix Reloaded ambayo humu alicheza kama mke wa Merovingian, ni mtu ambaye alikuwa akimmiliki mtengenezaji funguo (key maker), kama uliwahi kuiona sehemu hiyo! Endapo utataka kujua zaidi kuhusu mwanamama huyu hebu kong'oli hapa upoate kujua zaidi.

Maneno Mapya ya Kiswahili Mtaani

  • Ku-kulupuka - Kujifanya unajua wakati hujui
  • Ku-bamba - Kuwa na Umaarufu
  • Shobo - Kujipendekeza, Kujifanya mnajuajua mtu
  • Unyunyu - Manukato au pafyumu
  • Matawi ya Juu au Chini - Mambo safi, Mtu aliyefanikiwa
  • Mnyamwezi - Mtu wa Majuu, Mtu asiyependa Kufuatilia Mambo ya Watu...

Michango Yangu

Makala ya Wiki

Ukaguzi wa Wayahudi waliotoka katika treni katika Auschwitz mnamo Mei-Juni 1944
Watu wenye vazi ya kijeshi ni wanaSS; wenye nguo za milia ni wafungwa wa kambi waliochaguliwa kupokea mizigo; wenye nguo ya kiraia ni watu Wayahudi walioondoka sasa hivi katika treni; mbele wakinamama na watoto watakaopelekwa mara moja kwenye vyumba vya gesi; nyuma wanaume watakaoangaliwa na madaktari kama wanafaa kwa kazi au la; picha za aina hii zilipigwa na wanaSS kama kumbukumbu ya binafsi

Maangamizi makuu dhidi ya Wayahudi wa Ulaya (pia Kiingereza/Kigiriki: Holocaust, Kiebrania Shoah השואה) yalikuwa mauaji ya Wayahudi milioni 5-6 wa Ulaya wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia kati ya 1940 na 1945. Mauaji haya yalipangwa na kutekelezwa na serikali ya Ujerumani chini ya Adolf Hitler kwa msaada wa serikali za nchi zilizofungamana na Ujerumani au zilizokuwa chini ya jeshi la Ujerumani.

Mauaji haya yalitekelezwa kwa njia ya

  • kuwapiga watu risasi,
  • kuwafunga katika makambi bila chakula na madawa hadi wafe kwa njaa na
  • kuwaua kwa gesi ya sumu katika makambi maalumu.

Ili ujue nini kilitokea, kong'oli hapa usome zaidi habari hii!!!

Viungo vya nje

Meta ina taarifa kuhusiana na:
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons