Ernst Boris Chain : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ar:إرنست تشين
d roboti Nyongeza: fi:Ernst Boris Chain
Mstari 18: Mstari 18:
[[en:Ernst Boris Chain]]
[[en:Ernst Boris Chain]]
[[es:Ernst Boris Chain]]
[[es:Ernst Boris Chain]]
[[fi:Ernst Boris Chain]]
[[fr:Ernst Boris Chain]]
[[fr:Ernst Boris Chain]]
[[he:ארנסט בוריס חיין]]
[[he:ארנסט בוריס חיין]]

Pitio la 02:12, 30 Mei 2008

Ernst Boris Chain (19 Juni, 190612 Agosti, 1979) alikuwa daktari kutoka nchi ya Ujerumani. Kwa vile alikuwa Myahudi alihamia nchi wa Uingereza wakati wa Adolf Hitler kupokea utawala wa Ujerumani. Chain hasa alichunguza viua vijasumu. Mwaka wa 1945, pamoja na Alexander Fleming na Howard Walter Florey alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba. Mwaka wa 1969 alipewa cheo cha "Sir".