Zanzibar (maana) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
d robot Modifying: cs:Zanzibar (rozcestník)
Mstari 15: Mstari 15:
[[Category:Tanzania]]
[[Category:Tanzania]]


[[cs:Zanzibar (rozcestník)]]

[[cs:Zanzibar]]
[[en:Zanzibar (disambiguation)]]
[[en:Zanzibar (disambiguation)]]
[[nl:Zanzibar]]
[[nl:Zanzibar]]

Pitio la 10:46, 8 Agosti 2006

Zanzibar ni neno linalotaja

  • kijiografia Funguvisiwa ya Zanzibar kwenye mwambao wa Afrika ya Mashariki hasa visiwa vikubwa vya Unguja na Pemba pamoja na visiwa vidogovidogo
  • kisiasa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar ambayo eneo lake ni sawa na funguvisiwa ikiwa ni sehemu ya Jamhuri ya Maungano ya Tanzania
  • kihistoria Usultani ya Zanzibar iliyoanzishwa baada ya kifo cha Sultani Sayyid Said na kugawiwa kwa Usultani ya Omani mwaka 1856 wakati mwanaye Sayyid Majid alipokuwa sultani wa kwanza wa Zanzibar akitawala funguvisiwa ya Zanzibar pamoja na pwani la Afrika ya Mashariki kati ya Mogadishu (leo mji mkuu wa Somalia) na Rasi ya Delgado (leo Msumbiji ya Kaskazini karibu na mto wa Ruvuma).
  • Jiji la Zanzibar ambalo ni mji mkubwa wa Unguja na mji mkuu wa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar
  • jina kwa kutaja filamu, vitabu, hoteli n.k. zilizotajwa kufuatana na ya neno lenyewe kama vile Jamhuri ya Zanzibar, fuguvisiwa vya Zanzibar, Jiji la Zanzibar, na matumizi ya jina kwa kutaja vitabu, filamu, mahoteli n.k.
  • katika lugha nyingi kisiwa cha Unguja huitwa Zanzibar
Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana

Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.