Yuri Gagarin : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d robot Adding: ga:Yuri Gagarin
Mstari 26: Mstari 26:
[[fi:Juri Gagarin]]
[[fi:Juri Gagarin]]
[[fr:Youri Gagarine]]
[[fr:Youri Gagarine]]
[[ga:Yuri Gagarin]]
[[he:יורי גגארין]]
[[he:יורי גגארין]]
[[hr:Jurij Gagarin]]
[[hr:Jurij Gagarin]]

Pitio la 10:31, 8 Agosti 2006

Faili:Juri Gagarin 3.jpg
Yuri Gagarin katika Vostok 1

Yuri Alexeyevich Gagarin (Kirusi Юрий Алексеевич Гагарин), * 9.03. 1934 huko Klushino karibu na Smolensk, Urusi; † 27.03. 1968 alikuwa mwanadamu wa kwanza aliyefika angani.

Alimwoa Valentina Goryachova akawa na mabinti wawili naye. Akajiunga na Jeshi la Anga la Urusi mwaka 1955.

Mwaka 1960 aliteuliwa katika kikosi cha kwanza cha marubani walioandaliwa kurushwa kwa anga la nje akateuliwa kuwa mtu wa kwanza wa kutoka duniani.

Tarehe 12.04. 1961 akarushwa na chombo cha angani Vostok 1 akizunguka dunia lote mara moja katika muda wa dakika 108. Akashuka Siberia.

Akapandishwa cheo na kuwa mkuu wa kituo cha kuandaa wanaanga Warusi. Mwaka 1968 alikufa katika ajali ya ndege alipofanya mazoezi ya urubani akazikwa kwenye makaburi ya heshima huko Moscow.