Windhoek : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d robot Adding: fa:ویندهوک
d robot Adding: bs:Windhoek, et:Windhoek
Mstari 11: Mstari 11:
[[ar:ويندهوك]]
[[ar:ويندهوك]]
[[bg:Виндхук]]
[[bg:Виндхук]]
[[bs:Windhoek]]
[[da:Windhoek]]
[[da:Windhoek]]
[[de:Windhuk]]
[[de:Windhuk]]
[[en:Windhoek]]
[[en:Windhoek]]
[[es:Windhoek]]
[[es:Windhoek]]
[[et:Windhoek]]
[[fa:ویندهوک]]
[[fa:ویندهوک]]
[[fi:Windhoek]]
[[fi:Windhoek]]

Pitio la 13:55, 5 Agosti 2006

Windhoek, Namibia

Kitovu cha mji wa Windhoek

Windhoek ni mji mkuu wa Namibia, na iko mahali pa 22.56 S 17.09 E. Idadi ya wakazi wake ni takriban 230,000. Mji huo ni kituo muhimu kwa biashara ya ngozi za kondoo. Zamani ulikuwa makao makuu ya mtemi wa kabila la Nama aliyewashinda kabila la Waherero wakati wa karne ya 19. Mwaka wa 1885, nchi ilivamiwa na wakoloni kutoka Ujerumani, na mji wa Windhoek ukawa makao makuu ya serikali ya ukoloni mwaka wa 1892. Wakati wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia nchi ilivamiwa na majeshi ya Makaburu kutoka Afrika ya Kusini ambao wametawala nchi ya Namibia hadi mwaka wa 1990. Namibia ilipopata uhuru, mji wa Windhoek ukawa mji mkuu wa Jamhuri ya Namibia.