William Saroyan : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Mstari 11: Mstari 11:
[[en:William Saroyan]]
[[en:William Saroyan]]
[[es:William Saroyan]]
[[es:William Saroyan]]
[[fa:ویلیام سارویان]]
[[he:ויליאם סארויאן]]
[[he:ויליאם סארויאן]]
[[hr:William Saroyan]]
[[hr:William Saroyan]]
[[id:William Saroyan]]
[[it:William Saroyan]]
[[it:William Saroyan]]
[[pl:William Saroyan]]
[[pl:William Saroyan]]

Pitio la 11:54, 5 Agosti 2006

William Saroyan (31 Agosti 1908 – 18 Mei 1981) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Aliandika hasa mikusanyiko ya hadithi, tamthiliya na riwaya. Mwaka wa 1940 aliteuliwa kuwa mshindi wa Tuzo ya Pulitzer kwa ajili ya tamthiliya yake “Wakati wa Maisha Yako” (kwa Kiingereza: The Time of Your Life). Lakini alikataa kupokea tuzo hiyo.