Wikipedia : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d robot Adding: fy, mg, pap Modifying: mr, oc
d robot Adding: kk:Уикипедия
Mstari 69: Mstari 69:
[[jv:Wikipedia]]
[[jv:Wikipedia]]
[[ka:ვიკიპედია]]
[[ka:ვიკიპედია]]
[[kk:Уикипедия]]
[[kl:Wikipedia]]
[[kl:Wikipedia]]
[[kn:ವಿಕಿಪೀಡಿಯ]]
[[kn:ವಿಕಿಪೀಡಿಯ]]

Pitio la 10:20, 5 Agosti 2006

Wikipedia ni kamusi elezo huru ya lugha nyingi katika mtandao. Inatumia taratibu wa wikiwiki. Ni bure kabisa, na inaweza kusomwa, kuandikwa, na kuhaririwa na mtu yeyote, popote pale. Kamusi hii inajengwa kwa utaratibu huria ambao umejengwa juu ya falsafa ya ushirikiano inayokuwa kwa kasi. Falsafa hii inaonekana katika vuguvugu la programu huria ya tarakilishi, mikutano huria, demokrasia huria, n.k.

Historia

Wikipedia ilianzishwa kwa Kiingereza mwezi wa kwanza mwaka 2001. Mwaka 2003 kamusi elezo hii ilianzishwa katika lugha ya Kiswahili.