Afrika ya Magharibi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d robot Adding: de:Westafrika
d robot Adding: it:Africa Occidentale
Mstari 75: Mstari 75:
[[id:Afrika Barat]]
[[id:Afrika Barat]]
[[is:Vestur-Afríka]]
[[is:Vestur-Afríka]]
[[it:Africa Occidentale]]
[[ja:西アフリカ]]
[[ja:西アフリカ]]
[[ko:서아프리카]]
[[ko:서아프리카]]

Pitio la 07:58, 5 Agosti 2006

Afrika ya Maghribi (Kanda ya UM); Maghrib

Afrika ya Magharibi ni kanda la magharibi kwenye bara la Afrika.

Kwa kawaida huhesabiwa humo nchi zilizo kati ya jangwa la Sahara na Atlantiki. Upande wa mashariki kanda linakwisha kwenye mstari kati ya mlima Kamerun na ziwa Chad.

Katika lugha ya Kiarabu nchi za Afrika ya kaskazini-magharibi zinaitwa "Maghrib" yaani "Magharibi" lakini ni sehemu ya kanda la Afrika ya Kaskazini.

Kanda la Afrika ya Kakazini ya UM lina nchi 16 zifuatazo pamoja na visiwa vya Kiingereza vya Saint Helena:

Benin
Porto-Novo
Burkina Faso
Ouagadougou
Cabo Verde
Praia
Côte d'Ivoire
Abidjan, Yamoussoukro
Gambia
Banjul
Ghana
Accra
Guinea
Conakry
Guinea-Bissau
Bissau
Liberia
Monrovia
Mali
Bamako
Mauritania
Nouakchott
Niger
Niamey
Nigeria
Abuja
Senegal
Dakar
Sierra Leone
Freetown
Togo
Lomé