Sani Abacha : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: yo:Sani Abacha
Mstari 29: Mstari 29:
[[ig:Sani Abacha]]
[[ig:Sani Abacha]]
[[ja:サニ・アバチャ]]
[[ja:サニ・アバチャ]]
[[mr:सानी अबाचा]]
[[nl:Sani Abacha]]
[[nl:Sani Abacha]]
[[nn:Sani Abacha]]
[[nn:Sani Abacha]]

Pitio la 06:01, 21 Mei 2008

Faili:Sani Abacha.jpg
Sani Abacha.

Jenerali Sani Abacha (Alizaliwa mjini Kano tar. 20 Septemba mwaka 1943, Akafariki tar. 8 Juni mwaka 1998) Alikwa kiongozi wa kijeshi wa Nigeria, Pia alikuwa mwanasiasa. Aliwahi kuwa miungoni mwa marais (10) wa nchini Nigeria kwa mwaka wa 1993 hadi mwaka 1998 kifo chake kilivyomfikia.

Alitanguliwa na Rais Ernest Shonekan, Ambaye yeye alikuwa Rais wa '9' kwa nchi ya Nigeria. Jenerali Sani Abacha Alifahamika sana kwa udikteta. Baada ya kifo cha Abacha, akakamata madaraka bwana 'Abdulsalami Abubakar'. Aliyekaa madarakani kwa muda wa mwaka mmoja tu, kisha uchaguzi wa kitaifa ukapita.

Viungo vya Nje