Dola-mji : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
 
No edit summary
Mstari 37: Mstari 37:


===Dola-miji ya zamani===
===Dola-miji ya zamani===
* Dola la Ujerumani lilikuwa na dola-miji mingi hadi karne ya 19. Iliyobaki hadi leo na hali ya pekee ndani ya shirikisho la jamhuri ni [[Hamburg]] na [[Bremen]].
* [[Dola la Ujerumani]] lilikuwa na dola-miji mingi hadi karne ya 19. Iliyobaki hadi leo na hali ya pekee ndani ya shirikisho la jamhuri ni [[Hamburg]] na [[Bremen]]. Mji wa [[Berlin]] ambao leo ni jimbo la kujitegema haukuwa dola-mji katika historia.


* Miji ya Uarabuni ilijitegemea kabisa kwa muda mrefu, kwa mfano [[Maka]] na [[Madina]]
* Miji ya Uarabuni ilijitegemea kabisa kwa muda mrefu, kwa mfano [[Maka]] na [[Madina]]


* Miji ya Waswahili kwenye pwani la Afrika ya Mashariki ilikuwa dola-miji ya kujitegemea kama vile [[Mombasa]], [[Malindi]], [[Lamu]], [[Pate]] na [[Kilwa]]. Wakati mwingine utawala wao ulienea zaidi, lakini kimsingi ilikuwa kila mji unaotawala eneo lake.
* Miji ya [[Waswahili]] kwenye pwani la Afrika ya Mashariki ilikuwa dola-miji ya kujitegemea kama vile [[Mombasa]], [[Malindi]], [[Lamu]], [[Pate]] na [[Kilwa]]. Wakati mwingine utawala wao ulienea zaidi, lakini kimsingi ilikuwa kila mji unaotawala eneo lake.


* Ugiriki ya Kale ilikuwa na dola-miji mingi. Athens, Sparta, Korintho zilikuwa kwa muda mrefu miji tu pamoja na vijiji vichache. Zilijaribu kupanuka hasa Athens ilifaulu.
* [[Ugiriki ya Kale]] ilikuwa na dola-miji mingi. [[Athens]], [[Sparta]], [[Korintho]] zilikuwa kwa muda mrefu miji tu pamoja na vijiji vichache. Zilijaribu kupanuka hasa Athens ilifaulu.


* Katika Italia ya nyakati za kati miji muhimu ilijitawala kabisa. Kati ya dola-miji iliyoweza kupanua eneo lao ni hasa [[Genova]] na [[Venesia]].
* Katika [[Italia]] ya [[nyakati za kati]] miji muhimu ilijitawala kabisa. Kati ya dola-miji iliyoweza kupanua eneo lao ni hasa [[Genova]] na [[Venesia]].





Pitio la 19:58, 29 Julai 2006

Dola-mji ni dola ambalo eneo lake ni mji mmoja pekee.

Katika historia kuna mifano mingi ya dola-miji. Sasa (mnamo mwaka 2006) kuna mitatu pekee ambayo ni dola-miji ya kujitegemea kabisa. Pamaja nayo kuna pia madola au majimbo ndani ya shirikisho yanayoweza kuitwa "dola-mji".

Dola-mji wa kujitegemea kabisa

Dola-mji wa kujitegemea kabisa ni:

Wakati mwingi Kuwait huitwa pia "Dola-mji" kwa sababu karibu wakazi wote wa dola huishi katika mazingira ya Kuwait mjini. Lakini kuna miji midogo mingine nchini.

Dola mji kama jimbo la kujitawala ndani ya shirikisho

Dola mji kama jimbo la kujitawala ndani ya shirikisho ni kama mfano:

Uchina si shirikisho lakini miji ya Hongkong na Makau ina madaraka makubwa ya kujitawalanje ya sheria za Uchina bara.


Dola-miji katika historia

Dola miji ilikuwa muhimu sana katika nchi nyingi kihistoria. Hasa wakati katika nchi fulani hakuna serikali ya juu miji ilijitawala kabisa na kushindana na miji mingine na falme.

Dola-miji katika karne ya 20

Karne ya 20 ilikuwa na dola-miiji kadhaa hasa kati ya vita kuu ya kwanza na ya pili.

Dola-miji ya zamani

  • Dola la Ujerumani lilikuwa na dola-miji mingi hadi karne ya 19. Iliyobaki hadi leo na hali ya pekee ndani ya shirikisho la jamhuri ni Hamburg na Bremen. Mji wa Berlin ambao leo ni jimbo la kujitegema haukuwa dola-mji katika historia.
  • Miji ya Uarabuni ilijitegemea kabisa kwa muda mrefu, kwa mfano Maka na Madina
  • Miji ya Waswahili kwenye pwani la Afrika ya Mashariki ilikuwa dola-miji ya kujitegemea kama vile Mombasa, Malindi, Lamu, Pate na Kilwa. Wakati mwingine utawala wao ulienea zaidi, lakini kimsingi ilikuwa kila mji unaotawala eneo lake.


Links