Bahari ya Adria : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: fy:Adriatyske See
Mstari 35: Mstari 35:
[[frp:Mar Adriatica]]
[[frp:Mar Adriatica]]
[[fur:Mâr Adriatic]]
[[fur:Mâr Adriatic]]
[[fy:Adriatyske See]]
[[gl:Mar Adriático]]
[[gl:Mar Adriático]]
[[he:הים האדריאטי]]
[[he:הים האדריאטי]]

Pitio la 03:00, 27 Aprili 2008

Bahari ya Adria jinsi inavyoonekana kutoka angani
Ramani ya Adria

Bahari ya Adria au kwa kifupi "Adria" ni ghuba ya Mediteranea kati ya Rasi ya Italia na Rasi ya Balkani. i

Nchi zinazopakana nayo ni Italia, Slovenia, Kroatia, Bosnia na Herzegovina, Montenegro na Albania.

Adria huelekea kaskazini magharibi kutoka 40°N hadi 45° 45' N.. Urefu wake ni km 770 km na upana waka kwa wastani ni km 160. Sehemu nyembamba ni mlango wa Ortranto mwenye upana wa km 85. Eeno lake ni mnamo km² 160,000.

Mwambao wa kaskazini una visiwa vingi hasa mbele ya pwani la Kroatia.