Tofauti kati ya marekesbisho "Wapangwa"

Jump to navigation Jump to search
59 bytes added ,  miaka 12 iliyopita
no edit summary
'''Wapangwa''' ni kabila kutoka [[Milima Livingstone]] karibu na pwani ya mashariki ya [[Ziwa Nyasa]], wilaya ya [[Ludewa]], [[Mkoa wa Iringa]], kusini ya nchi ya [[Tanzania]]. Mwaka 2002 idadi ya Wapangwa ilikadiriwa kuwa 95,000.
 
Chakula chao ni ugali wa mahindi, ulezi na mtama kidogo. Kitoweo cha vyakula hivyo ni maharage, samaki, nyama na jamii ya mboga mboga. Kinywaji chao ni pombe (ukhimbi) yaani kangala, komoni, [[ulanzi]] ambao hugemwa kutoka katika mmea uitwao mlanzi.
 
Hulima mazao mbalimbali katika maeneo ya miinuko na mabondeni kandokando ya mito. Ni wafugaji wa [[ng'ombe]], [[mbuzi]], [[kondoo]] na [[nguruwe]] (kitimoto). Pia hulima mazao ya biashara kama [[kahawa]], [[chai]], [[pareto]], [[mahindi]]. Kabila hili pia hupata matunda ya asili kama vile; masada, savula, makuhu, mahofita, minhingi, vudong'o na nisongwa.
Usafiri wao ni wa chombo kiitwacho ngwichili ambacho kinatengenezwa kwa kutumia miti asilia.Nyumba zao za asili kwa sasa ni za matofali ya udongo ya kuchoma na kuezekwa kwa bati,hata hivyo nyumba zao za asili zinajengwa kwa kutumia miti asili kugandikwa kwa udongo wa mfinyanzi na kuezekwa kwa nyasi aina ya hunji na lihanu.Mavazi yao ya asili ni nguo zilitengenezwa kwa ngozi za wanyama pamoja na magome ya miti ya misambi ambayo hupondwapondwa,hufumwa na kupakwa mono.
Usafiri wao wa maji ni kwa chombo kiitwacho ngwichili ambacho kinatengenezwa kwa kutumia miti asilia.
 
Usafiri wao ni wa chombo kiitwacho ngwichili ambacho kinatengenezwa kwa kutumia miti asilia.Nyumba zao za asili kwa sasa ni za matofali ya udongo ya kuchoma na kuezekwa kwa bati, hata hivyo nyumba zao za asili zinajengwa kwa kutumia miti asili kugandikwa kwa udongo wa mfinyanzi na kuezekwa kwa nyasi aina ya hunji na lihanu.Mavazi yao ya asili ni nguo zilitengenezwa kwa ngozi za wanyama pamoja na magome ya miti ya misambi ambayo hupondwapondwa,hufumwa na kupakwa mono.
 
Mavazi yao ya asili ni nguo zilitengenezwa kwa ngozi za wanyama pamoja na magome ya miti ya misambi ambayo hupondwapondwa,hufumwa na kupakwa mono.
 
Lugha yao ni [[Kipangwa]].

Urambazaji