Kiolwa cha angani : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 20: Mstari 20:


[[Category:Falaki]]
[[Category:Falaki]]
[[Category:Gimba la angani|*]]



[[als:Himmelskörper]]
[[als:Himmelskörper]]

Pitio la 16:13, 16 Aprili 2008

Gimba la angani ni jina kwa ajili ya magimba yanayopatikana katika anga ya ulimwengu.

Kati ya vitu hivi huhesabiwa:

Haya yote ni magimba asilia. Vitu angani vilivyotengenezwa na binadamu ni vyombo vya angani ingawa kuna swali kama mabaki kutokana na vyombyo vya angani vilivyovunjika au takataka kutokana safari za angani yanastahili kuitwa kwa neno hili.

Elimu ya magimba ya angani ni falaki.