Pasta : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3: Mstari 3:




'''Pasta''' ni neno lenya asili ya Kiitalia kinachojumlisha chakula kilichotengenzewa kwa kutumia unga wa [[nafaka]] hasa [[ngano]] na [[maji]].
'''Pasta''' ni neno lenya asili ya [[Kiitalia]] kinachojumlisha chakula kilichotengenzewa kwa kutumia [[unga]] wa [[nafaka]] hasa [[ngano]] na [[maji]].


Aina ya pasta inayofahamika zaidi ni [[spaghetti]]. Lakini kuna aina nyingi za pasta.
Aina ya pasta inayofahamika zaidi ni [[spaghetti]]. Lakini kuna aina nyingi za pasta.

Pitio la 10:48, 16 Aprili 2008

Aina za pasta
Aina za pasta


Pasta ni neno lenya asili ya Kiitalia kinachojumlisha chakula kilichotengenzewa kwa kutumia unga wa nafaka hasa ngano na maji.

Aina ya pasta inayofahamika zaidi ni spaghetti. Lakini kuna aina nyingi za pasta.

Chanzo cha pasta hufanana kiasi na ugali yaani unga (wanga) unakorogwa na maji isipokuwa maji ni baridi. Kinyunga kinachotokea ni imara sana hukatwa kwa vipande vidogo venye maumbo mbalimbali na kupikwa kama vipande vya pekee. Kama pasta imekauka inatunzwa kwa muda mrefu hauozi na inapikwa haraka. Madukani inauzwa kama pasta kavu.

Kuna namna nyingi za kubadilisha kinyungo asilia kwa kuongeza mayai, mafuta, jibini na mengine ndani yake.

Utamu wa chakula cha pasta unakuja pamoja na sosi au supu zake.

Chanzo cha pasta iko katika Italia lakini zimeenea kote duniani. Ila tu hadi leo ni Italia yenye aina nyingi za pasta hizi.

Zinazojulikana kimataifa ni kwa mfano:

Viungo vya Nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu: