Wizara : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Rescuing 0 sources and tagging 1 as dead.) #IABot (v2.0.9.1
Mstari 1: Mstari 1:
'''Wizara''' ni sehemu ya [[serikali]] inayoshughulikia sehemu maalumu ya [[utawala]] wa nchi ikiongozwa na [[waziri]].<ref>"[https://sw.oxforddictionaries.com/ufafanuzi/wizara Wizara]", Kamusi ya Oxford</ref>. Kila nchi ina idadi na majina tofauti ya wizara zake.
'''Wizara''' ni sehemu ya [[serikali]] inayoshughulikia sehemu maalumu ya [[utawala]] wa nchi ikiongozwa na [[waziri]].<ref>"[https://sw.oxforddictionaries.com/ufafanuzi/wizara Wizara]{{Dead link|date=September 2022 |bot=InternetArchiveBot |fix-attempted=yes }}", Kamusi ya Oxford</ref>. Kila nchi ina idadi na majina tofauti ya wizara zake.


{{Utendaji}}
{{Utendaji}}

Pitio la 19:57, 9 Septemba 2022

Wizara ni sehemu ya serikali inayoshughulikia sehemu maalumu ya utawala wa nchi ikiongozwa na waziri.[1]. Kila nchi ina idadi na majina tofauti ya wizara zake.

Mifano

Kenya

Wizara huwa na idara tofauti ambazo huongozwa na katibu mkuu. Wizara ya Ulinzi na ya Mambo ya Ndani na Uratibu wa Kitaifa ziko chini ya Ofisi ya Rais wa Kenya[2].

Tanbihi

  1. "Wizara[dead link]", Kamusi ya Oxford
  2. "Uhuru unveils govt structure of 18 ministries", Huduma ya Utangazaji wa Urais, ilipatikana 21-03-2018