Kongoni : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Masahihisho
Nyongeza picha
 
Mstari 4: Mstari 4:
| picha = Hartebeest.jpg
| picha = Hartebeest.jpg
| upana_wa_picha = 250px
| upana_wa_picha = 250px
| maelezo_ya_picha = [[Kongoni mashariki]]<br><sup>(''Alcelaphus buselaphus cokii'')</sup>
| maelezo_ya_picha = [[Kongoni ]]<br><sup>(''Alcelaphus buselaphus cokii'')</sup>
| domeni =
| domeni =
| himaya = [[Mnyama|Animalia]] <small>(Wanyama)</small>
| himaya = [[Mnyama|Animalia]] <small>(Wanyama)</small>
Mstari 45: Mstari 45:
==Picha==
==Picha==
<gallery>
<gallery>
File:Alcelaphus caama.jpg|Kongoni mwekundu
Alcelaphus caama.jpg|Kongoni mwekundu
Jackson's Hartebeast, Uganda (15144422466).jpg|Kongoni lelweli
File:Lichtenstein's Hartebeest.jpg|Kongoni wa Lichtenstein
Lichtenstein's Hartebeest.jpg|Kongoni wa Lichtenstein
Alcelaphus buselaphus herd.png|Kongoni magharibi
Swayne's hartebeest (Alcelaphus buselaphus swaynei) (cropped).jpg|Kongoni wa Swayne
</gallery>
</gallery>



Toleo la sasa la 14:08, 8 Agosti 2022

Kongoni
Kongoni (Alcelaphus buselaphus cokii)
Kongoni
(Alcelaphus buselaphus cokii)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mamalia (Wanyana wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Artiodactyla (Wanyama wenye vidole viwili au vinne mguuni)
Nusuoda: Ruminantia (Wanyama wanaocheua)
Familia: Bovidae (Wanyama walio na mnasaba na ng'ombe)
J. E. Gray, 1821
Nusufamilia: Alcelaphinae (Wanyama wanaofanana na kongoni)
Brooke, 1876
Jenasi: Alcelaphus (Kongoni)
de Blainville, 1816
Spishi: A. buselaphus Pallas, 1766
Ngazi za chini

Nususpishi 8:

Misambao ya nususpishi za kongoni
Misambao ya nususpishi za kongoni

Kongoni ni wanyamapori wakubwa wa jenasi Alcelaphus katika familia Bovidae. Kwa asili jina hili lilitumika kwa nususpishi A. buselaphus cokii lakini siku hizi nususpishi zote huitwa kongoni. Wanatokea savana za Afrika tu. Rangi yao ni ya mchanga lakini tumbo na matako ni nyeupe. Wana kichwa kirefu na pembe zao zimepindika na zina umbo wa zeze zikionwa kutoka mbele. Wanyama hawa hula manyasi.

Nusupishi[hariri | hariri chanzo]

Picha[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kongoni kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.