Sakuramachi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ko:사쿠라마치 천황
Mstari 15: Mstari 15:
[[fr:Sakuramachi]]
[[fr:Sakuramachi]]
[[ja:桜町天皇]]
[[ja:桜町天皇]]
[[ko:사쿠라마치 천황]]
[[la:Imperator Sacuramati]]
[[la:Imperator Sacuramati]]
[[mr:साकुरामाची]]
[[mr:साकुरामाची]]

Pitio la 02:15, 7 Aprili 2008

Sakuramachi (8 Februari, 172028 Mei, 1750) alikuwa mfalme mkuu wa 115 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Teruhito. Tarehe 13 Aprili, 1735 alimfuata baba yake, Nakamikado, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 9 Juni, 1747. Aliyemfuata ni mwana wake, Momozono.