Kikazakhi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Badiliko: tt:Казак теле
d roboti Nyongeza: ba:Ҡазаҡ теле
Mstari 26: Mstari 26:
[[ar:لغة كازاخية]]
[[ar:لغة كازاخية]]
[[az:Qazax dili]]
[[az:Qazax dili]]
[[ba:Ҡазаҡ теле]]
[[bg:Казахски език]]
[[bg:Казахски език]]
[[br:Kazakeg]]
[[br:Kazakeg]]

Pitio la 00:34, 5 Aprili 2008

Eneo la uenezaji wa lugha ya Kikazakhi

Kikazakhi ni moja ya lugha za Kiturki za magharibi.

Kwa lugha yenyewe kuna majina "Қазақ Тілі (kasak tili), Қазақша (kazaksha) kwa mwandiko wa kikirili; Qazaq tili, Qazaqşa kwa mwandiko wa Kilatini, au قازاق ڌﻳل (kazak tili) kwa mwandiko wa Kiarabu.

Kikazakhi ni lugha rasmi ya Kazakhstan pamoja na Kirusi.

Wasemaji

Lugha inatumiwa nchini Kazakhstan na watu milioni 6.6.

Kuna pia wasemaji katika nchi jirani kama Uzbekistan (800.000), Urusi (37.000), Tajikistan (11.000) zilizokuwa sehemu za Umoja wa Kisovyeti. Idadi kubwa ya wasemaji nje ya Kazakhstan iko China (takriban milioni 1.1). Wengine wako Mongolia (100.000) na wachache wako Uajemi (3.000) na Afghanistan (2.000).

Mwandiko

Kihistoria kikazakhi kiliwahi kuandikwa kwa herufi za asili ya Kiaramu. Katika karne zilizopita alfabeti za Kikirili, Kiarabu na Kilatini zilitumiwa.

Katika Kazakhstan na Mongolia lugha inandikwa kwa herufi za Kikirili. Huko China wasemaji wa kikazakhi hutumia alfabeti ya Kiarabu.

Mwaka 2006 serikali ilipeleka mapendekeazo ya kutumia herufi za Kilatini.