Maada : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Reverted KihaririOneshi Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Tags: KihaririOneshi Mobile edit Mobile web edit
Mstari 1: Mstari 1:
{{infobox
{{infobox
| title = Mata
| title = Maada
| data1 = [[File:Quartz oisan.jpg|200px]]
[[File:Drop closeup.jpg|200px]]
[[File:NO2-N2O4.jpg|200px]]
[[File:Plasma-lamp 2.jpg|200px]]
| data1 = [[File:Quartz oisan.jpg|200px]]
[[File:Drop closeup.jpg|200px]]
[[File:NO2-N2O4.jpg|200px]]
[[File:Plasma-lamp 2.jpg|200px]]
| data2 = Mata kwa kawaida inaweza kupatikana katika hali nne. Picha zinazionyesha kutoka juu kwenda chini: [[kwazi]] ([[mango]]), [[maji]] ([[kiowevu]]), [[daioksidi ya nitrojeni]] ([[gesi]]), na [[tufe la plazma]] ([[Plazma (fizikia)|plazma]]).
| data2 = Maada kwa kawaida inaweza kupatikana katika hali nne. Picha zinazionyesha kutoka juu kwenda chini: [[kwazi]] ([[mango]]), [[maji]] ([[kiowevu]]), [[daioksidi ya nitrojeni]] ([[gesi]]), na [[tufe la plazma]] ([[Plazma (fizikia)|plazma]]).

'''Maada''' ni [[neno]] pana linalojumlisha vyote vinavyoweza kuonekana, kusikika, kuguswa, kuchunguzwa n.k., ikiwemo hasa ''mata ya kawaida'' inayoundwa na [[atomi]] ambazo tena zinaundwa na [[kiini]] cha [[protoni]] na [[neutroni]], kikizungukwa na [[wingu]] la [[elektroni]].<ref name=Davies2>
'''Maada''' ni [[neno]] pana linalojumlisha vyote vinavyoweza kuonekana, kusikika, kuguswa, kuchunguzwa n.k., ikiwemo hasa ''mata ya kawaida'' inayoundwa na [[atomi]] ambazo tena zinaundwa na [[kiini]] cha [[protoni]] na [[neutroni]], kikizungukwa na [[wingu]] la [[elektroni]].<ref name=Davies2>

Pitio la 14:30, 27 Mei 2022

Maada

Maada kwa kawaida inaweza kupatikana katika hali nne. Picha zinazionyesha kutoka juu kwenda chini: kwazi (mango), maji (kiowevu), daioksidi ya nitrojeni (gesi), na tufe la plazma (plazma).

Maada ni neno pana linalojumlisha vyote vinavyoweza kuonekana, kusikika, kuguswa, kuchunguzwa n.k., ikiwemo hasa mata ya kawaida inayoundwa na atomi ambazo tena zinaundwa na kiini cha protoni na neutroni, kikizungukwa na wingu la elektroni.[1][2] Hivyo maada ni kitu chochote chenye uzito na kinachoweza kuchukua nafasi.

Tangu karne ya 20 ufafanuzi sahihi wa mata umeshindikana kutokana na maendeleo ya sayansi, nayo si tena jambo la msingi katika fizikia kama ilivyokuwa awali.[3][4]

Maada inapatikana kwa kawaida katika hali nne: mango, kiowevu, gesi na plasma. Maada huweza kubadilika pale tu halijoto inapobadilika. Badiliko la maada linaweza kuwa kutoka gesi kwenda yabisi mfano mvuke kuwa barafu, yabisi kwenda gesi mfano barafu kuwa mvuke, kimiminika kuwa yabisi mfano maji kuwa barafu n.k.

Hivyo matawi mbalimbali ya sayansi yanatumia neno mata kwa maana tofautitofauti.[5][6][7]

Falsafa pia inatumia neno hilo, hasa kwa kutofautisha mata na roho, na hivyo ulimwengu unaoonekana na ule ambao hauonekani, lakini unasadikika kuwepo.

Tanbihi

1. P. Davies (1992). The New Physics: A Synthesis. Cambridge University Press. uk. 1. ISBN 0-521-43831-4.
2. G. 't Hooft (1997). In search of the ultimate building blocks. Cambridge University Press. uk. 6. ISBN 0-521-57883-3.
3. R. Penrose (1991). "The mass of the classical vacuum". Katika S. Saunders, H.R. Brown. The Philosophy of Vacuum. Oxford University Press. uk. 21. ISBN 0-19-824449-5.
4. "Matter (physics)". McGraw-Hill's Access Science: Encyclopedia of Science and Technology Online. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-06-17. Iliwekwa mnamo 2009-05-24.  Unknown parameter |= ignored (help)
5. P.C.W. Davies (1979). The Forces of Nature. Cambridge University Press. uk. 116. ISBN 0-521-22523-X.
6. S. Weinberg (1998). The Quantum Theory of Fields. Cambridge University Press. uk. 2. ISBN 0-521-55002-5.
7. M. Masujima (2008). Path Integral Quantization and Stochastic Quantization. Springer. uk. 103. ISBN 3-540-87850-5.

Marejeo

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maada kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.