Wikipedia:Email : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
Tag: Reverted |
||
Mstari 17: | Mstari 17: | ||
[[Jamii:Mwongozo wa Wikipedia]] |
[[Jamii:Mwongozo wa Wikipedia]] |
||
HELLO idii naomba kuendeleya na makala ambazo nimekoseya nibadilishe kuwa sawa me edward ambele |
Pitio la 22:17, 23 Aprili 2022
Mawasiliano kwa barua pepe kati yako mwenyewe na watumiaji wengine wa wikipedia ni chaguo unaloweza kuruhusu au la.
Mtumiaji anayetuma barua pepe ataonekana kwa jina la mtumiaji na pia kwa anwani ya email aliyoandikisha hapa wikipedia.
Wakati wa kuandika hujui anwani ya mpokeaji. Unaweza kutuma barua kwa hao pekee walioruhusu njia hii.
Kuwasha email kupitia wikipedia
Nenda kwa "Mapendekezo" hapu juu kwenye ukurasa wako.
- Baada ya chaguo za lugha na sahihi utaona "Hitiari za barua pepe".
- Hapo unaweza kuruhusu "Wezesha barua pepe toka kwa watumiaji wengine" pamoja na mwengine.
Ukibofya sehemu hii mstari mpya utatokea upande wa kushoto wa ukurasa wako wa mtumiaji
- "Email this user"
Basi wengine wanaweza kukuandikia email bila kuona anwani yako. HELLO idii naomba kuendeleya na makala ambazo nimekoseya nibadilishe kuwa sawa me edward ambele