Charles Sacleux : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
+ Dict. Swahili-Franc
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Charles Joseph Sacleux''' (1856–1943) alikuwa [[padre]] na [[misionari]] kutoka [[Ufaransa]] aliyekaa miaka mingi [[Afrika ya Mashariki]] hasa [[Bagamoyo]]. Anakumbukwa kwa utaalamu wake wa lugha na pia utafiti wake juu ya mimea ya Afrika.
'''Charles Joseph Sacleux''' ([[1856]]–[[1943]]) alikuwa [[padre]] wa [[Shirika la Roho Mtakatifu]] na [[mmisionari]] kutoka [[Ufaransa]] aliyekaa miaka mingi [[Afrika ya Mashariki]], hasa [[Bagamoyo]]. Anakumbukwa kwa [[utaalamu]] wake wa [[lugha]] na pia [[utafiti]] wake juu ya [[mimea]] ya [[Afrika]].


Sacleux alikuwa mmisionari [[Mkatoliki]] wa kwanza aliyeandika juu ya [[Kiswahili]]. Alitunga [[sarufi]] na [[kamusi ya Kiswahili]]. [[Mwaka]] [[1891]] alitunga kamusi ya "Dictionnaire Swahili - Français" iliyochapishwa [[1939]]. Mwaka [[1909]] alitoa "Grammaire des dialectes Swahilis" (sarufi ya [[lahaja]] [[lahaja za Kiswahili|za Kiswahili]]). [[Vitabu]] vyote viwili vilisifiwa na wataalamu.
Sacleux alikuwa padre wa [[shirika ya Roho Mtakatifu]].


Alitunga na kutafsiri vitabu kwa Kiswahili akaandika [[nyimbo]] za kiroho zinazotumiwa hadi leo katika [[Kanisa Katoliki]].
Sacleux alikuwa misionari mkatoliki wa kwanza aliyeandika juu ya [[Kiswahili]]. Alitunga sarufi na [[kamusi ya Kiswahili]]. Mwaka 1891 alitunga kamusi ya "Dictionnaire Swahili - Français" iliyochapishwa 1939<ref>[http://www.uni-leipzig.de/~afrika/swafo/documents/Sacleux1939_small_size_290_MB.pdf{{Dead link|date=January 2021 |bot=InternetArchiveBot |fix-attempted=yes }} Kamusi ya Sacleux kwenye tovuti ya [[Chuo Kikuu cha Leipzig]]]</ref>. Mwaka 1909 alitoa "Grammaire des dialectes Swahilis" (sarufi ya lahaja za Kiswahili). Vitabu vyote viwili vilisifiwa na wataalamu.


Alitunga pia kamusi ya [[Shikomor|Kiswahili cha]] [[Komori]] "Le dictionnaire Comorien-Francais et Francais-Comorien".
Alitunga na kutafsiri vitabu kwa Kiswahili akaandika nyimbo za kiroho zinazotumiwa hadi leo katika kanisa katoliki.


Katika [[kazi]] yake ya [[botania]] alikusanya mimea mingi ya Afrika ya Mashariki na kuieleza akapokea tuzo za kitaalamu kwa utafiti huu.
Alitunga pia kamusi ya Kiswahili cha [[Komori]] "Le dictionnaire Comorien-Francais et Francais-Comorien".

Katika kazi yake ya [[botania]] alikusanya mimea mingi ya Afrika ya Mashariki na kuieleza akapokea tuzo za kitaalamu kwa utafiti huu.


==Tanbihi==
==Tanbihi==
Mstari 17: Mstari 15:
* ''Dictionnaire Swahili - Français'' (1939) [https://hdl.handle.net/1887/3281960 Online version (open access)]
* ''Dictionnaire Swahili - Français'' (1939) [https://hdl.handle.net/1887/3281960 Online version (open access)]
*[http://nn.wikipedia.org/wiki/Brukar:Dittaeva/Afrikastudier/Modul_C/stubbar_fr%C3%A5_pensum Amidu kuhusu Sacleux]
*[http://nn.wikipedia.org/wiki/Brukar:Dittaeva/Afrikastudier/Modul_C/stubbar_fr%C3%A5_pensum Amidu kuhusu Sacleux]
{{BD|1856|1943}}
*[http://www.missie-geest.nl/Bagamoyo.htm Kazi ya Sacleux huko Bagamoyo]{{Dead link|date=January 2021 |bot=InternetArchiveBot |fix-attempted=yes }}
*[http://www.uni-leipzig.de/~afrika/swafo/documents/Sacleux1939_small_size_290_MB.pdf{{Dead link|date=January 2021 |bot=InternetArchiveBot |fix-attempted=yes }} Kamusi ya Sacleux kwenye tovuti ya [[Chuo Kikuu cha Leipzig]]]

[[Jamii:Kamusi za Kiswahili]]
[[Jamii:Kamusi za Kiswahili]]
[[Jamii:Watu wa Ufaransa]]
[[Jamii:Watu wa Ufaransa]]
[[Jamii:Wamisionari katika Tanzania]]
[[Jamii:Wamisionari]]

Pitio la 07:33, 22 Aprili 2022

Charles Joseph Sacleux (18561943) alikuwa padre wa Shirika la Roho Mtakatifu na mmisionari kutoka Ufaransa aliyekaa miaka mingi Afrika ya Mashariki, hasa Bagamoyo. Anakumbukwa kwa utaalamu wake wa lugha na pia utafiti wake juu ya mimea ya Afrika.

Sacleux alikuwa mmisionari Mkatoliki wa kwanza aliyeandika juu ya Kiswahili. Alitunga sarufi na kamusi ya Kiswahili. Mwaka 1891 alitunga kamusi ya "Dictionnaire Swahili - Français" iliyochapishwa 1939. Mwaka 1909 alitoa "Grammaire des dialectes Swahilis" (sarufi ya lahaja za Kiswahili). Vitabu vyote viwili vilisifiwa na wataalamu.

Alitunga na kutafsiri vitabu kwa Kiswahili akaandika nyimbo za kiroho zinazotumiwa hadi leo katika Kanisa Katoliki.

Alitunga pia kamusi ya Kiswahili cha Komori "Le dictionnaire Comorien-Francais et Francais-Comorien".

Katika kazi yake ya botania alikusanya mimea mingi ya Afrika ya Mashariki na kuieleza akapokea tuzo za kitaalamu kwa utafiti huu.

Tanbihi


Viungo vya Nje